Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mtu yeyote anaehitaj kubadilisha mawazo mbali mbali ya kijamii na kimaisha 0769816009
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Asanteni jamani mlio pm nasema asante sana hakika ukitii utakula mema ya nchi. Nimepata pm nyingi sana naomba kusema zimetosha ili niweze kuchagua mme kati ya hawa. Asanteni
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Natafuta rafiki wa kike popote pale. Awe mkristo mwenye hofu ya Mungu, akiwa ameokoka itakuwa vyema zaidi. Umri miaka 23 hadi miaka 27. Napenda awe mrefu akiwa mweupe itakuwa vyema zaidi. Awe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta rafiki wa jinsia yoyote lakini awe msomi mzuri na sio wa kubabaisha angalau ana degree na awe na intelectual ideas na mtafiti wa masuala mbali mbali.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rejea post yangu,mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 46, bado natafuta mwanamke mwenye nia ya dhati na ya kweli kutoka moyoni ambae anaitaji mume. Namba yangu ni 0718 53 18 23 Karibu sana
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Natafuta msichana wa kuchati naye, umri haujazingatiwa anicheki kwa 0756557751
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji mke awe mweupe mwenye sura nzuri umri wake uwe miaka 20-24. Namba yangu ni 0766971149
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dunia hii ina mambo mengi sana, unaweza kudhani kuna wanawake wengi kiasi kwamba hawana waoaji, lakini pia kumbe kuna wanaume kibao hawajui waanzie wapi ili kupata wake. Kuna jamaa zangu...
2 Reactions
47 Replies
6K Views
Chat-pal ikimaanisha rafiki wa kushare mawazo, story, jokes, feelings and experience Kahusu masuala mtambuka kwa vijana, suala la ajira na kipato yakiwemo. Vigezo kuzingatiwa; . Umri usizidi...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Ni mgeni humu Jf, Mwanamke mwenye mawazo chanya anaitajika just 4 chating. Dini yoyote. Umri from 30yrs and above. Elimu from 4m IV and above. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
853 Views
Nahitaji msichana wa kubadilishana mawazo nina mke. Whatsap +255762129759
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Awe mwenye tabia nzuri, na mcha Mungu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Wakuu, Najitokeza kutafuta mke wakuoa, mimi ni mwanaume rijali naishi Dar. Sifa zangu situmii kilevi chochote. Ni maji ya kunde, mwenye umri wa miaka 32, sina mtoto. Nimtafutae awe na...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
25 ndio miaka yangu, Richie ndio jina langu, Tabata ndio makazi yangu, natafuta mwanamke anayejua thamani ya kupendwa na anayejua kupenda kujali, sichagui umri maana umri ni namba tu. Kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kichwa cha habari hapo juu kimeshajitosheleza hivyo kama kuna dada atakayekuwa tayari na kukubaliana na hali yangu hiyo ya kipato na atanivumilia nitafurahi kwani naamini endapo nitampata mwenza...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mambo, Natafuta mpenzi wa kike hapa awe ni mkazi wa Mara tu na si vinginevyo. Kwa aliye tayari anitumie namba ya simu pia awe na umri usiopungua miaka 29, ndoa inaweza kuwepo kama tutaelewana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sorry, Mimi natafuta mke humu Jf, nina miaka 24,sichagui dini wala kabila,natumaini kuwa nitampata tutakaependana next namaliza chuo hivyo nahitaji wa kuwa naye am tired 2b alone.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi, I am a Tanzanian man looking for a lifemate, please send me a private message for further explanations.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu UMUHIMU WA TENDO LA NDOA KIAFYA 💕Tendo la ndoa ni moja kati ya mazoezi ya mwili. Wataalamu wanasema kwamba, unapofanya tendo hilo mara tatu kwa wiki husaidia kupunguza kiasi...
1 Reactions
32 Replies
9K Views
Back
Top Bottom