Jamani nimeshapata mwandani wangu wa maisha, so heshima uko PM mambo ya kutumiana message mpaka saa nane za usiku mwisho, baby wangu ana wivu, najua mtachonga sana mie nshakufa nimeoza...
Hello guys,
Mimi ninaitwa Brayan ninatafuta mpenzi ambaye ndiyo nitakae muoa kabisa, ila awe anajielewa na yuko tayari awasiliane na mimi kwa number:+255719559199 au +44701185693.
Mahmoud ndio jina langu sina maneno mengi kama hitajio langu linavyo jieleza. Awe na sifa zifuatazo;
-Mkarimu
-Muislam au awe tayari kubadili dini kwa dhehebu jingine
-Umri 16-22
-Elimu kuanzia...
Wandungu,
Nimechoka upweke na wakati huko Rombo naweza pata kisu cha maana moyoni mwangu. Muhusika chungulia pm tuzoze. Kama huusiki fanya kama hujaona hivi! Alafu itakua poa kuliko kudondosha...
Hodi humu ndani,
Wadau kwa heshima nawasalimu woote, mimi nina umri wa miaka 29,kwa makabila mama ni Mpare wa Same na baba ni Mnyamwezi wa Sikonge Tabora.
nimezaliwa tabora na kukulia huko.Ila...
Hellow,
Natafuta marafiki wa kike wa kuchati nao.
Wenye umri wa miaka 17-21.
Mimi ni wa kiume(ME)
Aliyetayari ani PM namba yake kwa mawasiliano zaidi.
Asanteni.
Kama wewe ni mdada unayejitambua upo mpweke au umeumizwa sana naomba kampani yako ya ku chat, outing na kubadilishana mawazo.
Please uwe serious umri wangu miaka 29 number 0713644485
I tried so hard to find friends in the sea of loneliness, only to find that loneliness was my only friend.I dont know why i'm here or but atleast i believe i can get someone like me.
Pm me
Kwajina naitwa JL naishi Dar es salaam umri wangu 31, rangi yangu ni maji yakunde,dini Rc ni mtakae jinsia mwanamke umri wake 25-34,awe mweupe,elimu na kabila lolote,mwenye vigezo ani pm atajibiwa...
Naitwa Elisha nipo Dar es salaam nasoma chuo, natafuta mpenzi mwenye mpenzi ya dhati asiwe mpenda pesa umri kati ya miaka 18-23 namba yangu ni 0658281933, Sifa awe mfupi wa wastani.
Mimi ni kijana wa kati ninayejiheshimu,natafuta mwanamke wa kiislamu ili awe mchumba wangu na kama tutakubaliana tutaoana nipo makini na jambo hili.
Aliye tayari anaweza weka namba ya simu inbox...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.