Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Ninayo heshima na uadilifu mkubwa kwenu;napenda kujitokeza katika jukwaa ili kwa lengo la kutafuta mke wa maisha,mke wa kuanzisha nae familia.mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 46,nina urefu wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pia awe mfupi na aliyejazia
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafta mke, awe na sifa zifuatazo; mref mweusi tii. Joking! hahahahahah
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke mwenye sura mbaya maana huyo atakuwa ni wa kwangu tu wengine hamtomtamani kama yupo katika jukwaa hili anitafute.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naitwa Jayffa, nina miaka 22, natafuta girlfriend jamani. Awe; Na umri 18-22. Modo kidogo. 0752832215, utanipa hapo.
0 Reactions
1 Replies
744 Views
Jina naitwa jeffa Chibah nina miaka 22 natokea kibaha ni mwanachuo kampala univecity nahitaji mpenzi jamani awe na miaka mwisho 22 na awe anajitambua. Namba yangu 0752832215
0 Reactions
0 Replies
900 Views
nashukuru sana kwa michango yenu
1 Reactions
64 Replies
9K Views
Jamani nimerudi tena nilipost ombi langu hapa kuwa nahitaji mwanamke wa kumuoa nimedhamilia na wala si utani age yangu ni (30) na nimeajiriwa serikalini! niliomba kuwasiliana nami kwa Pm kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
ni kijana umri miaka 26.natafuta msichana alie arusha au moshi umri 18-23.tutafutane 0756 900931
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau, Mimi najitokeza kutafuta kadada kadodo alafu kazuri, awe anaishi Dar es salaam napendelea zaidi awe level ya chuo kikuu, ani pm alie tayari, mimi age yng 29, yeye awe below 26
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nataka girlfriend na tu chat naye nitafute kwa 0734013714
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Kuanzia miaka 30-38. Anayejimbua na kujiheshimu, aliyetayali anitumie pm.
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Kwa heshima na uadilifu mkubwa kwenu!Napenda kujitokeza hapa KUTAFUTA MKE WA MAISHA,MKE WA KUANZISHA NAE FAMILIA.Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 46,nina urefu wa futi 5 na inch...
1 Reactions
0 Replies
870 Views
Nahitaji mwanamke mzuri na mwenye kazi yake anapata kipato chake, mimi nina umri wa miaka 28 sina mwanamke kama yuko ambae yuko tayari kuwa na mimi anicheki ibox.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Natafuta rafiki wa kike wa kuchat naye na kubadilishana mawazo umri wangu 26yrs.
0 Reactions
1 Replies
827 Views
Umri kuanzia miaka 22 na kuendelea, awe mkrsto. Anicheki whatsapp 0713578805
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mcha mungu sana ( narudia tena ) mcha mungu mno uwe mkristo au muislam kwangu haina tatizo Unayejitambua Usiwe mzuri sana wala mbaya sana Elimu kuanzia diploma, degree, masters na phd na umri...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Salaam' naitwa sam npo morogoro nna miaka 26 natafuta mchumba awe na umri kuanzia miaka 22-23,asiwe mwanafunzi awe mweupe au mweusi nipo gudy kwake na awe mrefu wa wastan,awe mkristo aliye tayari...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Awe anapatikana dar es salaam, age 23-28 kama akiwa mkristo itakuwa poa zaidi,elimu yake iwe kuanzia form four na kuendelea. mimi mwenyewe napatikana dar es salaam,nina elimu ya chuo...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Natafuta mchumba, sijali umri, kabila wala rangi, nina miaka 33
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom