Habari za leo.
Katika maisha nimejifunza mengi baada ya kukutana na mengi, imefikia point naishia kusema "ninge" well hayo yameshapita na hope kuto walk thru those paths tena. Haya sasa I know Im...
Natafuta rafiki wa kike popote pale. Napenda awe mrefu na asiwe kibonge, umri kuanzia miaka 22 mpaka 27. Pia awe mcha MUNGU katika roho na kweli.
Ni pm nitakujibu na tutafahamiana kiundani...
Nipo Arusha napenda sana kutembelea siku za wikiend kwenda sehemu za nje ya mji natafuta kampan ya ladies wenye tabia ya kutoka wikiend.
N:B Mimi ni 20 somthing years old
Mimi ni mwanaume nimesoma na nimeajiriwa serikalini. Ninatafuta mwanamke aliye tayari kuolewa na kulea familia.
Mimi nina umri wa miaka 30.
Aliye tayari ani Pm
Natafuta marafiki sio mchumba,
Nipo DSM natafuta marafiki nina miaka 22, jinsia yeyote mnaruhusiwa kikubwa ni nataka kubadilishana mawazo na watu walionitangulia kimaisha pia kupata ushauri...
Hi all,
Napenda sana kuchat kwa email kwa atakae penda tubadilishane mawazo na kupeana michongo pia boybway@gmail.com My number ni 0689 784 834 every time penda wote.
Hodi wanaforum, nami leo natafuta mwanamke mrembo, muelewa, mwenye mtoto mmoja tu au asiye na mtoto ila ana uwezo wa kupata mtoto. Sifa nyingine ni upole, tabia njema, mpenda maendeleo. Mwenye...
Habari,
Mimi ni mwanaume natafuta mwanamke wa kunizalia mtoto, mimi ni mwajiriwa serikalini na nina nyumba pia ninakajiusafiri kakutembelea, mwanamke ninae mwitaji awe mweupe,mrefu kiasi.
Kama...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 niliondoka tanzania nikiwa bado sijafikisha miaka ishirini so sijawa sana na uhusiano na wasichana wa nyumbani kwa muda wa zaidi ya miaka kumi na mbili...
Habari.
Ukweli nilisikitika sana nilipopata majibu kuwa nimuathirika wa HIV niliamini sina jipya tena, but with hope waliniambia HIV haizuii kufikia ndoto zangu na hata kuweza kuoa na kusonga...
Wadau poleni na majukumu. Mimi ni mwanaume umri miaka 31 naishi dar nimeathirika na vvu. Hivyo natafuta mke mwenye vvu ili tuishi kwa matumaini. Nimetafakari muda wa kuoa umefika.Nina afya njema...
samahan wa love connect ,,,
mchumba ameshapatikana naomba msinitafute tena na.ahsanten kwa ushirikiano wenu...nawapenda sana na Mungu awabariki. Tuzidi kuombeana mema zaid na zaidi.
Habari zenu wana Love Connect,
Mimi kijana mwenzenu najitokeza hapa kutafuta mwanamke ili awe mchumba wangu Na badae tuje tuwe in familia, Mimi nimeajiriwa Serikalini na nipo Kanda ya Ziwa...
Me ni mpenzi wa dona na vyakula vya asili sana, vicvyo kaangwa,
mabagga, masoseji na maartificial yote kwang co upendeleo sana
sifa zngne awe mwembamba na acwe mfupi
tuwacliane pm kwa...
Natafuta mdada wa kumuoa,mimi kijana wa miaka 25,elimu yangu ni ya chuo.nimeajiriwa mwaka 2015
namtafuta binti wa kumuoa awe na sifa hizi :-
1.Awe Muislamu.
2.Mcha mungu na muuumini wa kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.