Nimehangaika sana nikimtafuta mke wa maisha yangu kwa mda mrefu. Wengi walio jitokeza hawakuwa na nia ya dhati ajabu nimekutana na mtu ambae ananjia inafaa katika maisha yangu kwa njia ambayo hata...
Mimi ninaumri wa miaka 25 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 18-24 awe na sifa zifuatazo;
-Mcha mungu na mwenye mapenzi ya kweli
-Elimu 4-6
-Asiwe mnene sana
-Sichagui kabila wala rangi...
Habarini wote,
Naomba nieleweke kuwa mimi nahitaji mwanamke mmoja (sio mke) kwaajili ya kutumia pesa nilizo nazo,nina hela kwakweli na pia zitamridhisha kwa muda mrefu tu japo siwezi kusema ni...
Habari za leo ndugu zangu,
Mimi ni mkazi wa Arusha ila kwa bahati nzuri nimepata kazi mkoani Singida, kutokana na ugeni napenda kupata marafiki waliopo Singida mjini, na pia wawe watu wazima...
1.Mwenye adabu na unyenyekevu.
2. Kujari na kuthamini familia na jamii kwa ujumla.
3 Elimu yaani mwenye kujitambua yy ni nani.
4. Mkarimu asiwe mkimya kimya awe mchangamfu kwa watu.
5...
Mimi ni mdada wa kitanzania wa kikiristo, ninahitaji mwanaume atakaeweza kuwa rafiki yangu mpenzi mume wa maisha na katika maisha.
Awe mkristo, awe anajitambua kama mwanaume halisi, awe na mwili...
Natafuta marafiki wa kuchat nao iliwanikeep busy katika kuondoaa huu upweke nilionao coz tayari nishatendwa yani sometimes mpaka nahisi akili inaganda coz of stress. But nimejuta mimi kupenda...
Habari za kazi wana jamvi wenzangu,
Najitokeza hapa kumtafuta mwanamke ambaye tuje tuwe na malengo ya kujenga ndoa yetu.Mimi ni muajiriwa wa serikali na sijawahi kuoa na wala sina mtoto ndyo...
Habari wana JF,
Nami wacha nitumie fursa hii kutafuta rafiki wa kike baada ya kuwa mpweke kwa zaidi ya miezi minne mimi ni mtumishi na nina miaka 30 naishi Dar.
Sifa:awe...
Naitwa emmi,nahitaji mwenza wa maisha miaka kuanzia 39-43 awe na siha njema mwenye muonekano mzuri awe mcha Mungu na awe mwenye kujishughulisha,kujiamini,awe na mtoto walau mmoja.Je wewe una sifa...
Nahitaji mke wa kuoa kama tukikubalina bada ya kuwasiliana,
Nahitaji awe Muslim kabila lolote pia umri wowote sio tatizo akiwa Dar-es-salam ni bora zaidi
awe na kibaruwa chochote.
Mimi nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.