Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari zenu wakuu, Nina demu wangu lakini kwasasa hayupo nchini kwa takribani miezi sita na anatarajia kurudi nchini mwezi wa kumi mwaka huu. Katika kipindi chote hicho nimekuwa nikiishi bila...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wadau habari zenu, Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 31, nimepima afya na kukutwa nina maambukizi ya VVU.Natafuta mke wa kuoa mwenye maambukizi kama mm ili tuishi kwa matumaini. Sina masihara...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Naitwa Ernest natafuta mchumba msichana awe nimvumilivu awe nimuelewa. no yangu 0652689936.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Awe mcha Mungu na mwenye tabia njema. Aliye siriazi anicheki PM.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwanza natanguliza shukran zangu kwa mimi kuwa mgeni humu na kujiunga nanyi wenzangu na nimejiunga humu baada ya kugundua kuwa pana faida kubwa kuliko hasara. nahitaji mwanamke ambaye atakuwa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa miaka 25 nahitaji msichana wa kubadilishana mawazo kama upo serious nipm sichagui kabila wala dini.
0 Reactions
6 Replies
996 Views
Hi guys mi ni kijana age 32 nemechoka kukaa mwenyewe nahitaji jiko now nipo mwanza ni mwajiriwa wa serikali.sichagui dini wala kabila aliye tayari. Tuwasiliane PM please.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi nipo kanisa la pentecoste Ruaha Kilombero, umri miaka 28, niambie kanisa ulipo nije tuonane wala hatuta ongea na kupatana humu Jf. Mungu akubariki
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina umri wa miaka 29,nina elimu ya Shahada,mkristo.Natafuta mchumba awe na umri wa miaka kati ya 20-27,mwenye upendo wa dhati,mcha Mungu(Mkristo) mengine tutayajadili baadaye. Kama unavigezo na...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Mimi Ni Mtumishi Wa Mungu Na Ni Mchungaji Mtarajiwa, Ninatafuta Mke Mwema Wa Kuoa. Vigezo Awe Ameokoka Kwa Muda Usiopungua Mwaka Mmoja, Awe Anaabudu Makanisa Ya Kirohn, Awe Tayari Kuwa Mama...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari zenu waungwana humu, Mimi ni kijana ninayejitokeza kutafuta mchumba hapa, sifa zangu: Muislam. Mrefu kias.i Umri wng 22. Nimeajiriwa serikalini. Sivuti sigara wala situmii pombe. Mchumba...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Natafuta mwanamke wa kuchat naye kama upo ok nichek kwenye nyoniben2@gmail.com tushee ideal
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Najua fika kuwa wapo akina dada na wanawake ambao wana maisha mazuri na wako vyema kiuchumi ila wanachokosa ni upendo tu wa kupata mwanaume mkweli na mwenye upendo. Hivyo basi kama wewe ni mdada...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naitaji mpenzi awe mjane au mke wamtu ila asiwe na miaka chini ya 25 mimi ninamke ila naitaji mwingine hivyo naomba atakayekuwa muitaji ani pm pia naomba awe mkweli mm ninamiaka 29 akiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naimani hili jukwaa limetawaliwa na watu waelewa nimekuja kuwapa faraja mama wote dada wote walioko katika upweke wajisikie na amani pia wanaoitaji ushauri wa mahusiano na faraja mpya...
0 Reactions
2 Replies
863 Views
Mi ni kijana umri 34. Nimeajiriwa serikalini pia nimejiajiri kwa sehemu. Natafuta mdada aliyetayari kuwa na mume na familia. Awe anaishi DSM, umri 21-30, atleast diploma/bachelor holder hata...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kina dada,maisha ya upweke yamenichosha mwenzenu,natafuta mpenzi hatimae aje kuwa mke wangu,wa maisha,umri uanzie miaka 18 hadi 33 mwisho,sina vigezo vingine vyovyote,dini yoyote,kabila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nataka mwanamke ambaye ananizidi umri,mimi nina miaka 32,nataka mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 30 hadi 48. Maana kama ni maisha atakuwa amejifunza vya kutosha nitamlea vya kutosha na kunako 6...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi ni kjana wa miaka 34 natafuta mwanamke aliye tayari kuolewa. Sibagui kabila awe na umri kuanzia 20-32, awe na elimu kiwango chochote. Anitafute kwa namba hii 0757597555. karibu mke wangu...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Awe Moshi au Arusha asiwe na dini kabisa ambaye yupo tayari anitafute Whatsap 0759561434
0 Reactions
2 Replies
939 Views
Back
Top Bottom