Hey there,
Iam looking for a graduate/ college girlfriend to be committed in some affairs terms n condition must reside in Dar es salaam and aged 18-25yrs.
Kindly write me through...
Habari wakuu
Wakuu nikiwa nakaribia umri wa miaka 25, nimefanya maamuzi magumu nimeamua kwamba sitaki kuwa na mke kwa maisha yangu yote, ila nataka kuwa na watoto wawili, mmoja wa kiume na...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25. Naishi mwanza. Natafuta msichana (specifically) mkristu ili kusiwe na hitilafu kwa ajili ya dini. Ili awe mchumba wangu na baadaye mke. Sifa za...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 mwenye hofu na mungu, ni mrefu wa wastani, maji ya kunde na mwajiriwa.
nafuta mwanaume age 28-40 mkristu anayependa dini na anaye jua nn maana ya mke na...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 26 nahitaj girlfriend 18-23.Akitokea Arusha au Moshi itapendeza zaidi, sichagui dini wala kabila.
Alie serious ani pm
Nimeichukua hii toka kwa Michuzi.
Tafadhali naomba uniwekee wazi maombi yangu haya. Nina umri wa miaka 35 nikisoma na kufanya kazi hapa Marekani. Natafuta mchumba( dada wa kitanzania) kokote...
Mm ni mwanaume nina miaka 24 najua huku wapo wasichana warembo wenye tabia njema mm mtaan ni mpole sana so chance nakosa pia npo bize na kazi.....vigezo umri chini ya miaka 22 kabila sichagui...
Nimekuwa single kwa mda mrefu now nahitaj rafiki wa kike ambaye yupo tayari kuwa mke wangu siku za baadaye. Awe mkristo(umri had 26) elimu yoyote ,aliyepo Mbeya ,Iringa na Dodoma atapewa...
Hello, wizzy hapa natafuta rafiki wa jinsia yeyote. Mimi ni mwanaume, 30 ninafanya kazi. Graduate wa chuo wa shahada ya fedha na benki. Ninapenda kuogelea, muziki, kusafiri, kwenda mbugani, kuwa...
Wakuu heshima kwenu, nimekuwa lonely kwa muda sasa, hivyo natafuta mwanaume wa kuchat nae umri kuanzia 39-43, awe single tafadhali.
Aliye tayari ani PM.
Natafuta mwanamke mlokole ambaye baada ya kuridhika atakuwa mke,umri ni kuanzia 27 had 34.na hatakiwi mwenye mtoto zaidi ya mmoja ila ambaye hazai atapewa kipaumbele.
Aliye tayari anipm
Umri wangu ni miaka 29, mkristo,elimu chuo, nimeajiriwa na niko morogoro. Nimtakae umri 30-34,awe mkristo, mwajiriwa au mjasiriamali. Mengine tutafahamiana zaidi.
Kwa PM kwa anae hitaji.
Habari wana Jamii forums.
Ninarafiki yangu wa kike ana miaka 20 ni virgin,anatafuta rafiki wa kiume atakayeanza nae mahusiano na baadae Mungu akipenda wafunge ndoa.
Yeye ni mkristo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.