Mimi ni mwanamke wa kuanzia miaka 34-37, mkristo, nina mtoto mmoja, nimeajiriwa, natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo, awe mkristo, elimu kuanzia form four kuendelea. Awe mwaminifu na mwenye...
Sifa; awe mrefu 150cm-160cm, asitumie kilevi,awe mkristu mkatoliki,maji ya kunde/mng'avu, mwenye umbo na sura yakuvutia plus tabia njema, umri wake 17-21, mimi mweusi, 24yrz , bado naendelea...
Hello
Natafuta rafiki wa kike atakayekidhi maudhui ya mada iliyotajwa hapo juu.
Sifa zake:-
Awe mrefu,mweupe,mrembo,umri kati ya 20-27,awe independent and decisive,awe Shinyanga,
Mwenye sifa hizo...
Kwa aliye serious,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28.Ni kijana wa kikristo mwenye hofu ya Mungu.Elimu yangu ni shahada ya awali. Ni muajiriwa. Natafuta rafiki wa kike popote napendezwa zaidi...
1.Awe mwanamke
2.umri 18 to infinite
3.Awe na akili timamu
4. Awe mshugulikaji kwenye kutafuta pesa pia awe na malengo na maisha asiwe goalkeeper kwan mimi sioo falcao.
5.Arembo majiyakunde na...
Habari zenu wanawake
Mimi ni mwanaume mtu mzima nina miaka 46,kwa heshima kubwa na nina nia ya dhati kutoka moyoni na upendo wa kweli moyoni mwangu,najitokeza kutafuta mwanamke kwa maisha...
Huu si utani ni kweli.
Mimi ni mwanaume Kutokana na maisha ya kilokole niliyoyaishi nina miaka 24 sasa na sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yeyote but mwanzoni mwa mwaka huu kuna binti...
Mim n mwanaume wa miaka 27,nahitaji msichana mwenye mapenzi ya dhati,mwenye elimu na dini yoyote.
pm ndio itakuwa rahisi kujaana nakupeana namba za simu.
Nipo mwanza
Habari za jukwaa ndugu na jamaa.
Poleni na majukumu ya kila siku, ila mwenzenu namtafuta aliyetayari kuishi nami kwa shida na raha.
Vigezo;
-Umri 32-35.
-Dini yeyote, tutakubaliana katika hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.