Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nataka girl frend wakuchat nae tu txt zitajibiwa no 0718173851
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi nikijana mwenye miaka 22 ninatafuta mchumba wa kunipenda kwa dhati nasiyo kuniumiza namba yangu ni 0757042257
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Ni msichana nina miaka24 natafuta mchumba mwenye kazi but except mwalimu awe mkristo.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakubadilishana nae mawazo age 22-26
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Ninaomba kama una mke au mpenzi usiniandikie. Maombi yawe kwa kuni pm sipendi iwe hapa sitaweza kujadili. Karibuni kwa urafiki na Kikrsto tu.
0 Reactions
70 Replies
7K Views
[SIZE=3]Mimi nipo Mwanza, nichek na +255689378927
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafuta mdada "smart" tupeane mchongo. Sifa: 1. Lazima uwe mrembo. 2. Usiwe umekuja mjini karibuni, sitaki mambo ya kushangaashangaa na kuniulizauliza hata vitu virahisi Lini? This...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Mi ni mwanamke wa miaka 36.Natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za weekend Najitokeza hapa kutafuta yule ambaye atakuwa wangu katika shida na raha, mimi ni mfanyakazi kwenye shirika la umma nina shahada ya juu ya uhasibu umri wangu 31, natafuta...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Natafuta mke awe tayari kuishi Mtwara wenyeji wa Mtwara watapewa kipaumbele. Umri chini ya 30 mengine tutaelewana. kama upo tayari njoo pm.
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Habari wanajamvi Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 29, niliehitimu chuo kikuu mwaka jana ambae sina ajira,pia natafuta mke wa kuoa ambaye atakua tayari kusaidiana wakati wa shida na raha.Ewe...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi ni mkazi wa Ubungo-Dar es salaam kutokana na majukumu mengi niliyonayo nakosa hadi muda wa kutafuta mwanamke hivyo nahitaji mdada mzuri wa kuwanae na nikiridhika nae basi nitamuoa kabisa,umri...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wanajukwaa naja kwenu kwa upole sana kuomba msaada.Nina mdogo wangu anatafuta mke wa kuoa ana kazi yake inamtosheleza ila yupo Nairobi. Yupo disparate on this na amenishirikisha nimsaidie katika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Umri 18-22 mimi ni kijana umri 24.Anaye hitaji ani PM tufahamiane. Karibuni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Awe na umri kuanzia miaka 18 mpaka 23
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Looking for a woman. Am 39 years of age now with one kid and lonely. Story zaidi ni inbox.
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Nahitaji mwanamke msichana ambaye tukikaa vyema atakuwa mke wangu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa umri miaka 25 nina cheti cha form 4,nimepanga chumba Usagara kwa sasa sina ajira nipo nasaidiwa na ndugu zangu nahitaji mke ambae tayari anayo kazi ili tuweze saidiana majukumu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi ni kijana raia wa tanzania elimu yangu ni degree moja. Naishi Dar es salaam. Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 20 mpaka 30. Elimu yake angalau form four.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom