Jamani wadada wa kibongo,kama wewe ni mdada upo ulaya na upo single au married but you have complicated relationship naomba tuwasiliane jamani.
Maana na mimi nipo huku kwa muda na nawish kuwa na...
Mimi ni mvulana wa miaka 23, nasoma chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM) mwaka wa kwanza nikuchukua degree ya Uhandisi/Engeneering.
Natafuta rafiki wa kike wa kuweza kushauriana vitu mbalmbal vya...
Natafuta mke wa kuoa,mimi naishi Dar es salaam,umri wangu ni miaka 30,mke ni mtakae awe mweupe,awe ameajiajiri,mwenye nidhamu safi,umri wake 25-35.
Mimi sina elimu kubwa, ambae ana utayari andike...
Natafuta mwanamke Muislam wa kuanza nae uchumba,Mimi ni kijana mwenye umri 22,nafanyakazi serikalini na sina mtoto.
Sifa za ninae muhitaji:
-Awe Muislam.
-Awe ajazaa.
-Umri 18-22.
-Elimu kuanzia...
Yeyote wa kupeana ushauri, kuchati na kutembeleana if possible nitumie private message umri si tatizo. Maisha kujichanganya na watu katika different place si lazima mtoke sehemu moja
Habari wana jf
Kabla hujafikiria kutafuta mwenzi bora hakikisha kuwa wewe ni bora pia kwasababu sikuzote Mungu anakupa unachistahili na sio unachotamani.
Kwa sasa npo mwanza maeneo ya IGOMA,so nahitaji girl friend wakuwanae,kikubwa awe mwaminifu na mwenye sifa zfuatazo:Awe mweupe au maji ya kunde,awe mrefu kiasi,awe mcha mungu,sitojali kiwango cha...
Hi people, its my hope all is well with u, im 25 years lady, graduate from Institute of accountancy Arusha, im here to search for matured guy to have relationship with.
I would like the man who...
Ni kijana wa kiume,nina miaka 30,mrefu kidogo sio mfupi,nimeajiriwa nafanya kazi.natafuta mke wa kuoa awe mwarabu,umri kati ya miaka 20-27. naomba niPM kwa aiye siriaous.
Nianze na shukrani,asante mwanzilishi wa Jukwaa hili,Mungu akupe maisha marefu.
Nimepata mume mwema kwa kupitia hapa jukwaani saivi tunaendelea na process za ndoa.Ushauri kwa wale wanaotafuta...
Habari wana Jamii forums.
Mimi ni mwanaume bado sija ajiriwa natafuta rafiki wa kike tutae saidiana kutafuta kazi na kuanza maisha ya ndoa.Atakayekuwa tayari ani Pm naishi Dar es salaam nimepanga...
jamani jamani niko kwenye upweke usiopimika. natafuta rafiki jinsia ya kiume mwenye uelewa wa maisha na mstaarabu asiwe na majigambo. nahitaji mtu wa kubadiishana naye mawazo ya kimaisha, taaluma...
Kwenu mnaotafuta mke wa kuoa!
Miaka ya nyuma, kijana hakuwa na kazi kubwa saaana kutafuta mchumba tena kwa vigezo avitakavyo mwenyewe.
Kigezo cha uchapa kazi, usomi, hata mwonekano/wajihi...
Habarini somo husika,unapokuwa unatafuta rafiki wa kuchati au kubadilishana mawazo kibiashara kwanini mnaenda outside of topic after PM.
Na mnaotafta wachumba kwanini hamfatilii taratibu za...
Mimi ni mwanaume halisi natafuta mke wa kuoa mwenye kazi yake,nitamheshimu nakutii kwa chochote atakacho nitafanya.Ila akubali kunitafutia kazi kwani sija ajiriwa bado.Nitashukuru sana sina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.