Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Niko mgeni humu wakuu,Hivyo nawakaribisha kuchati nami PM kwa kubadilishanana mawazo, uzoefu nk.Wadada, wamama wote mnakaribishwa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta msichana wa kuchat naye,naomba awe GOD fearing,then awe innovative and creative na ege between 18-20.
0 Reactions
1 Replies
912 Views
Wakubwa nahitaji binti wa kuchat nae anipunguzie mawazo kiukweli niko vibaya leo. Ani PM namba zake nitamcheki haraka. Vigezo:Asiwe mke wa mtu,awe binti kuanzia miaka 18 up to 24. Asante.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natafuta rafik wakuchati nao whatsapp ,0755260629
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari. Natafuta Mdada Mchumba Muislamu, Mtu Mzima wenye Umri Chini Ya Miaka 30, Elimu Kuanzia Diploma, Awe Mwajiriwa Idara Ya Afya, Elimu, Maendeleo Ya Jamii, Mdada Yeyote Ambaye Amekidhi Kigezo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
I'm not "handsome" but i can give my "hand" to"some" one who needs help. Beauty is in heart, not In face.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni binti wa miaka 26 elimu yangu ni masters nimeajiliwa serikalini sina mtoto. Nahitaji mume kuanzia miaka 28 - 35. Awe mkristo mwenyehofu na mungu, kabila lolote, rangi yoyote, elimu kuanzia...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Najua sasa una umri 22-25 sasa. Sijali kabila njoo PM. Tuongee zaidi tupange uwe mama wa watoto wangu.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu leo nimeonelea nitoe kinachonisibu moyoni. Natafuta mchumba. Sifa: (1) Awe ni msomi mwenye degree na kuendelea. (2) Awe ana nia ya dhati ya kuolewa. (3) Akiwa na kazi yake ya kuajiriwa...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Refer to the heading,Mature women aged 30-35 the bigger the better,no strings attached, lots of fun and sex, time to rejuvenate yourself. Inbox me and we take it from there.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi. Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 25 nimepitia relationship kama tatu hivi ila sijafanikiwa kuwa na mwanamke aliyenipenda kwa dhati labda kwa vile me nimuumini wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamii forums. Nimekuja hapa mimi ni Musician Gospel napiga piano, drums na gitaa but kwa sasa nimemaliza project yangu nilyoifanya kama ya John lisu hivyo tatizo linakuja kufanya Huduma ya...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamvi. Natafuta binti mzuri kwaajili ya uchumba (siyo mapenzi). Nahitahi awe na sifa zifuatazo: 1. Umri miaka 20 hadi 30. 2.Rangi isiwe nyeusi 3.Urefu wowote. 4.Elimu yeyote...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Msichana au mwanamke anahitajika just kwa kujenga urafiki, kubadilishana mawazo na kimaisha na mambo mengine ya umuhimu umri kuanzia 18 to infinite, unakaribishwa ukivutiwa na post yangu. Karibu pm.
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Habari wana Jamii forums. Kwa mara ya kwanza naingia humu kumtafuta ambaye atakuwa wa mtu wa karibu maishani kwangu.Nina miaka 29, ni mkristo,nimeajiriwa serikalini. Nipo Kahama. Nahitaji...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari wana jamii forums. Napenda kuwasilisha pendekezo, kwani mimi ni kijana wa miaka isiyozidi 20 peace.Natafuta wa kumuita rafiki wa karibu.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakubwa habarini. Mwanamke anayejitambua ambaye amesharidhika na anasa za dunia ambaye yupo tayari kuishi kwa hofu ya mungu anahitajika. Elimu siyo kigezo kwa kuwa hata waliotuzaa hawakutumia...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
nahitaji msichana wa kuoa ambae ni HIV +ve umri wangu 34 yr mtumishi wa umma awe mkristo au muslim alietayari kubadili dini. alietayari anipm pls.
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Elimu yangu ADA kaz nipo halmashaur ya wilaya hapa tz age 30 Dini muislam
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari. Natafuta msichana mke muislamu mwenye umri kati ya miaka 22-30. Kwa aliye serious ani Pm.
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom