Natafuta msichana aliye tayari kutunzwa. Mimi ni mtoto wa kigogo hapa nchini. kwa sasa nafanya biashara pia mbunge mtarajiwa.
Naishi Oysterbay kazi yangu ni kuwachukua warembo wakali hasa wa...
Mambo vipi girls.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naishi Dar es salaam, natafuta rafiki wa kike aliye Dar es salaam kwa aliye tayari anitafute kupitia.
Namba 0683076985.
Naitwa fikiri niko Dodoma,24yrs natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli. Najua kumridhisha vyema mwanamke. Sifa, hata kama umezaa,au una umri kunizidi.
Au hata kama hauko vizuri kiuchumi wala...
Nina miaka 32 male,nimeajiriwa,rangi-maji ya kunde,mrefu kiasi 156cm,elimu ya chuo kikuu,mwenyeji wa Simiyu na ni mkristo.
Natafuta mke mwema,mkristo wa kweli,mrefu,mweupe au chocolate colour...
mim ni kijana wa miaka 26, mjasiriamali natafuta mchumba umri (18-21), Kwa aliye tayari aniPM,,,SIBAGUI_Dini au kabila ila awe na heshima pia mapenzi ya dhati
Nahitaji mume mwenye uhitaji wa mwanamke. Awe mkristu mcha Mungu, awe mchapa kaza(kazi halali). Awe tayari kupima UKIMWI, awe tayari kuwa baba wa familiaa.
Pm ni kwa mwenye uhitaji tu!
Naitwa Annie,23,mnene,maji ya kunde,si mrefu wala mfupi sana,elimu
yangu kdato cha 6,mkristo-lutheran.Natafuta mchumba umri 27-35 ambaye
yuko serious na maisha,awe mrefu,sio mwembamba...
Umri wangu 30yrs, mfanyakazi, mkristo Roman Catholic, natafuta rafiki wa kike mwenye sifa zifuatazo:
- Umri 25 - 27.
- Elimu diploma - digrii.
- Asiwe mchaga, mhehe au mnyakyusa.
- Awe mkristo.
-...
Naomba kutangaza kuwa tuna nafasi chache zimebaki kwa wadada wa Moshi/Arusha umri kuanzia miaka 29 to 40 ambao wanajiona wapo wapweke kipindi hiki.
Masharti ni marahisi tu:
1.Awe ni mdada/mama...
Habari wana Jamii forums.
Mimi niina miaka 26 ninafanya kazi za imformation technology, nahitaji mke wakuishi nae vigezo ni awe na kazi yeyote awe anaishi kaskazini yeyote alie tayari ani pm.
Nimekuwa nikishuhudia watu wa jinsia ya kiume wakishambuliwa kwa kuitwa majina kama domo zege, huko mtaani hujaona n.k. kwenye jukwaa la MMU (Love connect). Baada ya kupost kuwa anatafatufa mke...
Mimi ni kijana jinsia ya kiume hahitaj mwenza nimwajiriwa katika taasisi ya kiserikali nafasi ya office attendant mwenza pia aanzie kidato cha nne elimu yake.
Nawasilisha.
Wanawake wengi huachwa au kusalitiwa kwa sababu ya kutomjali mwenza wake hivi...
1. Muda wote atakuwa hana chakuongea, huku akisubiri ulete maongezi.
2. Ukitaka kuonana nae atakuzungusha kweli...
Mimi ni kijana mwenye miaka 29, ni mtumishi wa uma. Elimu yangu ni shahada ya awali. Natafuta rafiki wa kike ambaye tutakuwa tunabadilishana mawazo na kushare mambo mbali mbali.
Mungu akipenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.