Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Hbr za kupeluz wana jf! Najtokeza kwa mara ya kwanza ktk jukwaa hili nikitafuta mwanamke wa kumuoa. nina miaka 33, nina diploma ya marketing, muajiriwa, mkrito,mtulivu, mcha Mungu. Sifa za...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kitambo sana sina relationship. Natafta mpweke mwenzangu tuliwazane, propert zangu niko hivii,age 24 nipo Ardhi university.
0 Reactions
46 Replies
4K Views
About Me: -28 years of age. -Kurya. -176 cm urefu. -Maji ya kunde. -Degree holder currently. -Christian. -Sijawahi kuoa. -Sina mtoto. Awe: -25-35 years of age. -Kabila lolote. -Elimu at...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu mimi nimehamia Tabora kama wiki 2 ila nimeachwa na mpenzi wangu alivyoona nimejiunga na jeshi, natafuta marafiki wa kike wa kupeana kampani. Kwa wale waliopo tabora alie tayari naomba ani pm.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Anayejitambua mwenyewe upendo wa dhati mfupi wastani na Kwa ambaye yupo tayar naomba anichek pm ili tuweze kuongea zaidi na awe anaishi dsm karibu na maeneo ya Mikocheni.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nawashukuru kwa uwepo wenu. Nimerudi hapa kwa mara nyingine kutoa mrejesho wa uzi wangu niliopost hapa kutafuta rafiki na Mume. Kwanza, ninamushukuru Mungu kwa yote. Pili ninashukuru...
8 Reactions
29 Replies
4K Views
Anatafutwa mdada age of not more than 27. Ani pm haraka mno.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
This goes to every Love connect member. Not everyone that you see in a relationship is happy and comfortable. Many are in pain, they're stressed, ever in regrets, tears, torture, they have...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Salam wana Love connect. Najitokeza kwenu kutafuta msichana/ mwanamke mwenye vigezo kwajili ya kuwa nae kwenye mahusiano ya kiutu uzima: Umri:Miaka 23-40. Rangi:Mweupe /maji ya kunde...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Kuna uzi nilipost hapa kutafuta mke wa kuoa, yule dada alikuwa na vigezo vyote nivitakavyo but hakuwa serious kwa sababu yeye aliniambia atakuwa tayari kuolewa Mwakani, wakati mimi nahitaji kuoa...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
age 23yrz,nko dar
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Natafuta mpenzi wa kubadilishana nae mawazo umri miaka 18 hadi 21. Kwa atakae hitaji number 0685721432.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Closed closed closed!
3 Reactions
155 Replies
18K Views
Habari Wana Jamii Forums. Kama title inavojieleza ni kuwa mie ni mwanaume mwenye miaka 32 na nahtaji mwanamke wa kuanza naye maisha ya familia(mke na mme). Elimu yangu ni bachelor degree na ni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
NATAKA KUOA: Naogopa majaribu, kuoa nimenuia. Kwa kukwepa maswahibu, yaliopo kwenye ndoa. Nimepanga taratibu, sifa za anae faa. Natafuta wa kuoa, mdada alo na sifa. Namtafuta bubu, awe na kiziwi...
2 Reactions
32 Replies
15K Views
Habari za uzima wakuu wa L-connect. Mimi ni kijana ofcourse, age >24 and <27.Nahitaji mwanamke mrembo kutoka jamiiforums, umri wake uwe si zaidi ya miaka 28 na usipungue miaka 18.Napendekeza wote...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mi ni mdada wa miaka 32, natafuta marafiki wanaojitambua wa jinsia zote wa kubadilishana nao mawazo wawe na umri kuanzia miaka 33 na kuendelea. Tuwasliane kwanza kwa Email...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini mimi ni kijana nina miaka 40. Nina watoto wakiume watatu ni mfanyakazi wa serikali na pia ni mfanyabiashara. Niliachana na niliyezaa nae miaka miwili iliyopita. Tulishindwana na bahati...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nina miaka 26-39 nadhani nimeeleweka yeyote sibagui dini wala kabila aliyetayari ani Pm.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom