Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nahitaji mwanaume wa kula nae bata za dunia, sihitaji commitment mapenzi yashanichosha, nishaumia sana. naomba kueleweka sihitaji mvulana ila mwanaume....walio serious tu tuwasiliane. Umri wangu...
3 Reactions
171 Replies
17K Views
Natafuta rafiki/mpenzi mwenye umri huo, umri wangu ni kati ya 38-45. Sifa kuu awe mwelewa, mpole asiyeongea kwa kupiga makelele na awe na Elimu walau kidato cha nne. Welcome.
2 Reactions
32 Replies
3K Views
0788557751
0 Reactions
2 Replies
960 Views
Natafuta mke awe na sifa zifuatazo: Awe mweupe,awe na kijungu aka msembwende aka makalio makubwa,awe anatokea mikoa kati yakilimanjaro,mwanza,lindi au mtwara,awe na Elimu angalau diploma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana nina 26 yrs nafanya kazi wizara ya ulinzi, nipo Dar es salaam area naitaji mwanamke wa kuoa umri asizidi 26yrs Dini si kigezo. Aliye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Akina dada humu ndani hamjambo,Mimi ndio kwanza najiunga na hili jamvi la Jamii forums. Natafuta girlfriand anipe kampani mwenye sifa zifuatazo: 1.Mrefu wastani, mimi urefu wangu 173cm. 2.Asiwe...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
deleted
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Natafuta rafiki wa kike wa kubadilishana nae mawazo sijali umri, dini wala kabila kama upo interest nicheki PM.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rafiki wa kuchati naye na kubadilishana mawazo
0 Reactions
2 Replies
784 Views
Mimi Mjasiriamali nahitaji Mke mwenye vigezo vifuatavyo: -Mkristo na hasa awe tayari kufunga ndoa RC -Mfanyakazi na hasa mwalimu. - Hajawahi kuolewa au kuzaa. -Asiwe mwembamba na sio...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
1. Faith: A truly God fearing lady who is a Christian whereby a RC is preffered. 2. Age: has to vary from 24- 27 years or slight differences. 3. Education: At least a bachelor's degree, a...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
1. Faith: A truly God fearing lady who is a Christian whereby a RC is preffered 2. Age: has to vary from 24- 27 years or slight differences 3. Education: At least a bachelor's degree, a teacher is...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta mke mwenye umri 28 hadi 30 dini yeyote 0715898965.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Poa
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Jinsia yangu ni mwanaume Ninaeishi Dar es salaam,Elimu yangu ni Chuo ,ni mwajiriwa.natafuta mke wakuoa Mwenye sifa Zifuatazo: -Mweupe -Elimu -chuo Kikuu -Amejiajiri/kuajiriwa -Umri 20-32...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Mi ni kijana mtanzania,mrefu kiasi,mweupe,Umri wangu ni miaka 32 sina Mtoto,nahitaji mwanamke alietayari na anaejitambua Umri wake usizidi miaka 36 alie tayari ani Pm tuongee vizuri au anitafute...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimenyanyasika sana na mapenzi yote kisa sina kazi.Nshapata Cheq namba tayari na nimeanzia TGTS G. Yule binti kigori mbichimbichi chiken chiken ani PM tuchek utaratibu wakukaa ndani kidogo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani nimechoka kuwa single. Namhitaji Sasa Mrembo Msomi Mkristo Mrefu Mwenye hofu Ya Mungu Umri 18-27 Na Mwenyekazi Au Asiye Na Kazi. Mimi Mjasiria Mali Umri Wangu 31 Kwa Aliyeserious Tu...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Hamjambo wanajamvi. Mimi ni Kijana mwenye miaka 27, Mkirsto, elimu yangu ni Chuo kikuu. Ninahitaji mchumba,dada mwenye umri kati ya 23-25/.Mkristo,Mcha-Mungu. Mwenye kiasi. Mrembo of...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani am tied of being with men ambao hawajui wanataka nini in life I need a serious man. Am 23. Mhaya na ni mnene kidesign. Shepu ya kihaya to be precise. Ni mweusi na sio mrefu wala mfupi...
14 Reactions
286 Replies
40K Views
Back
Top Bottom