Naitwa Geofre wa Mbeya Tz nna miaka 24 ni muajiriwa,ni mrefu,rangi maji ya kunde natafuta mchumba mwenye vigezo vifuatavyo.
1.Awe mweupe au maji ya kunde.
2.Awe mwembamba au mwenye...
Habari.
Mimi ni kijana miaka 25,natafuta mdada au mmama aliyenizidi umri kwani ndo nawapenda ni kijana nimeajiriwa na Elimu yangu Chuo kikuu awe na hela au asiwe na hela yote sawa ila awe...
Habarini.
Mimi ni kijana nina miaka 40 nina watoto wakiume watatu ni mfanyakazi wa serikali na pia ni mfanyabiashara,
niliachana na niliyezaa nae miaka miwili iliyopita.
Tulishindwana na bahati...
Mimi ni mwanaume natafuta mke mwenye makalio ya haja maana ndo ugonjwa wangu, pia kifua kisiwe kikubwa sana cha wastani. kama upo tayari njoo pm nikuweke ndani.
Mwaka mpya na mambo mapya. umri...
Nina miaka 31yrs, niko Dar es salaam, ni mwenyeji wa Mbeya,elimu ni O'level,mrefu 178cm, 75kgs, black, Mkristo KKKT, nafanya kazi na kuishi Dar es salaam. Ni muajiriwa Serikalini. H.I.V-tutapima...
Wadau connections international ltd. Imezidi kukua na sasa tumefungua ofisi Kigali, Rwanda na Kinshasa, Congo DRC.
Ukiwa na hitaji lililotajwa hapo juu.
Tuma wasifu wako kwa kuni-PM utapewa...
Mimi naishi Dodoma ,ni mfanyakazi wa Taasisi moja wapo ya Bunge la Tanzania ,sijaoa , ila niko na maisha ya kuridhisha sana nina gari mbili yangu na yake napenda kumwambia hivyo mchumba mwenye...
Mimi ni kijana wa miaka 25 katika maisha yangu huwa najisikia mpweke sana kama sipo kazini.Kwani sijawahi kuoa na sina mpenzi wala mchumba.Nahitaji mwanamke yeyote wa kubadilihana naye mawazo.
My...
Habari za masiku.
Ni mara ya tatu narudi kwenye jukwaa kwa sababu ile ile.Nipo tayari na nimejiandaa kuwa mume bora.Nina imani humu nitampata mke bora wa maisha yangu.
Aliyetayari kuwa mke bora...
Habari na heri ya mwaka mpya ndugu zangu.
Mimi ni mwanaume wa miaka 27 now,nipo Moshi mjini Msaranga.Elimu bachelor degree of banking and finance,mchaga wa Oldi moshi,mkristo safi Lutherani,mrefu...
Nakaribisha PM kwa mdada mwenye nia ya dhati ya kuolewa. Sifa awe mkristou umri wake usizidi miaka 29.
Mwenye mtoto 1 ruksa,asiwe mnene na asiwe mweusi,awe anajua kusoma na...
Habari wana Jamii forums.
Natafuta mume wa kuishi nae.Awe kati ya miaka 32 hadi 35.Awe mkristo nimeajiriwa Serikalini na Nina mtoto mmoja.umri wangu ni Milka 29,Elimu yangu ni shahada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.