Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni mwanaume,umri wangu ni 30 natafuta mke wa kuoa.Naishi Dar es salaam kwa mawasiliano zaidi ni pm usisahau kuweka namba ya Simu.Ni mwajiriwa,Elimu yangu ni Chuo.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
KWAWANAWAKE TU Natafuta mchumba elimu yangu shahada ya information communication technology,ninaishi dsm,umri wangu miaka 26,sura yangu ni maji yakunde urefu wangu futi 6,napendelea kucheza mpira...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Closed
Nimepata Rafiki wa kweli humu Ndani (dada wa makamu) baada ya kuandika kuwa nahitaji marafiki na hivi sasa tumekuwa kama ndugu tunasaidiana kwenye shida na raha.Kumbe hapa Jamii Forums ni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natafuta rafiki wa kuchat,naitwa Frank 0786237866.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi nyinyi mnaotafuta wachumba kupitia mitandao ya kijamii,inamaanatangu mzaliwe, huko mnakoishi hamjawahi kuwaona wanawake/wanaume wa kufunga nao Ndoa. Au wanaume/wanawake wa kwenye social...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za usiku wana Mmu. Mimi ni Daktari mwanafunzi Chuo cha udakitari Bugando. Natafuta girlfriend awe na umri wa Miaka 18 hadi 24. Mawasiliano zaidi namba yangu ni 0652776485. Picha yangu ni Pm...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Asiwe na Miaka 40 asiwe chini ya Miaka 24 awe na Kazi inayompatia Kipato. Gharama zote za kumtunza, kusomesha Mwanangu zitakuwa zangu,ila hakuna kuoana kwa aliye tayari aje inbox.
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Habari. Nilipost humu kuhusu kutafuta Mchumba ili nimuoe ila mrejesho niliopata Pm nina hakika hapa sio sehemu sahihi,jamani mi sio wa kuhamisha Pm kuja hapa. Nimejifunza sana kuna ambao...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Hi to ladies only, msichana aliyopo Jf aliye Dubai kipindi hiki cha shopping festival tafadhali ni pm tusocialize.For ladies only
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani wadada natafuta Mpenzi ambaye kama tutaenda vizuri tutakuwa Mke na Mume.Awe Mkristo asiwe Mwembamba sana awe Mrefu kiasi rangi yoyote ila napendelea zaidi rangi nyeusi.Mimi nipo Tanga...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani huyu rafiki simuelewi au ni sawa, we use to comunicate most of the time she is single. Butt soon after nimemu itroduce my boyfriend kakata mawasiliano na mimi marazote yupo bize...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Anayejitambua awe mrefu wastani, mweupe, mwembamba, mkristo mchamungu wa kumaanisha (RC) umri 18 - 24, awe mwaka wa kwanza ngazi ya diploma. Nipm aliyeguswa
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari ya usiku wapendwa. Mimi ni mwanamke age 40 to 45 ni mwajiriwa na pia mjasiriamali nahitaji marafiki wa jinsia zote, umri wowote ili tuweze kujadili kuhusu Maendeleo hasa kuongezeana ujuzi...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Kila kijana au msichana anataka mwenza anayemcha Mungu, mwaminifu, mkweli, mkarimu, anayejali na mwenye upendo wa kweli. Na hayo ni mambo muhimu ya kuyatafuta kwa mwenzi wa Maisha. Sasa cha...
9 Reactions
9 Replies
1K Views
huu uzi utasaidia kujua on average msichana/kijana wa kazi kwa sasa anapaswa kulipwa bei gani kw amwezi ili kutimiza majukumu yote ya nyumba................ haya taja.....
0 Reactions
73 Replies
8K Views
Jamani mimi ni kijana ambaye nimekuwa nikiishi Maisha ya usingle sasa nahitaji kua na mwenza nina umri miaka 22 nahitaji Mchumba mkweli ili baadae nimuoe awe Umri kati ya miaka 20 hadi 25...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu, ninashukuru Mungu na uwepo wa JF . Ninawashukuru wote waliochangia kwenye huu uzi na wale walioonyesha interest munisamehe tu bure ikiwa nimewakwaza kwa namna moja au nyingine hapa na...
0 Reactions
79 Replies
10K Views
Naitwa shack nipo Dar natafuta marafiki wa kike umri wowote sichagui dini wala kabila.
0 Reactions
5 Replies
947 Views
Heri ya Mwaka mpya wana Jamii Forums. Ni Busara kama tutaitumia hii fursa ya kuuona mwaka 2015 ni vyema na kua na msaada kwa watu. Unaweza kuwa msaada kwa kuongea kwa Hekima au kukaa kimya. Sio...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Awe na kaz yake!Umr kuanzia miaka 18 na kuendelea.nko kilimanjaro!nchek whatsap 0713578805.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom