Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Anyone who is serious,determined one Tanzania lady aged 22 inneed of partner!!!! just PM and i wiil replyyy
1 Reactions
2 Replies
786 Views
Dear Members happy new year! Kwa mara nyingine napenda kuleta kwenu ombi langu la kutafuta mwanamke aliye-serious tu kuolewa. Napenda awe Mwalimu au Nurse lakini si lazima. Mimi nina...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari ya weekend. Nina thamini sana marafiki,nina amini katika marafiki kwakweli. Kama unahitaji rafiki wa kuongea nae au kusaidiana katika mawazo,mambo ya kuhusu maisha,mambo ya...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Wana jamii, mimi ni mwanaume mkamilifu kabisa, nina miaka 34, nina mtoto1. najitokeza kwenu kutafuta mwanamke wa kuoa, awe mwelewa, mwenye hofu ya Mungu, awe amekua kiakili na kimwili pia...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Sisi ni Kikundi cha Wavulana watatu ambao tumekuwa pamoja na tumesoma pamoja hadi hatua ya kuajiriwa Serikalini mmoja kati yetu ameajiriwa Serikali kuu na wawili tupo katika mashirika ya umma...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wana JF, am a young guy, age 26. Basically ni Mwandishi wa articles, Hadithi fupi, Riwaya, report na proposals. Pia nafanya Graphic designing kidogo. Am looking forward kupata Marafiki...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari za xmass wana jf, Kama title inavyosema, nahitaji binti aliyetayari kuolewa anipm, awe na vigezo vifuatavyo Miaka isizidi 28 elimu isiwe chini ya form 4 kabila lolote Mwenye heshima...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Nipo Songea mjini sim no.0788557751
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta rafiki wa kike, ambaye tunaweza kwenda steji ya pili ya uchumba na Ndoa. umri kati ya 18 hadi 24, awe Muislam, Mfupi lakini si Mbilikimo Elimu yeyote.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta rafiki wa kike ambaye yupo serious awe na Elimu si chini ya Kidato cha sita awe na umri wa miaka 18 hadi 23.
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Mimi ni Mhandisi,mjasiliamali naishi Dar es salaam. Natafuta marafiki wa kike wa kuchati nao. Zaidi nitumie PM.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa Single kwa muda sasa. Ninahitaji binti,kwa kuanzia,rafiki,na labda kadri muda uendavyo kuingia phase nyingine ya maisha. Umri wangu miaka 30,Dini mkristo,Kabila Mu-Ikizu,Elimu yangu,Chuo...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Habari wakuu. Jinsia yangu ni mwanaume najitokeza kutafuta rafiki wa kike ili baadae tufunge ndoa.Elimu yangu ni kidato cha nne,na Umri wa miaka 27,Dini mkristo,Kazi nimejiajiri .Nimtafutae elimu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za JF, Ni mara ya pili nakuja kutafuta mke wa kuoa hapa jf.Vigezo vyangu ni vilevile Nawasilisha
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu brothers and sisters. Wakubwa zangu, heshima kwenu pia. Mimi ni mgeni kwenye site hii. Baada ya rafiki yangu mmoja kufanikiwa kupata mke umu JF, nami nimeamua kuja katika jukwaa hili...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Jinsia Yangu Ni Mvulana na 31yrs,maji ya kunde,naishi dsm,mkristo,kabila langu ni mpimbwe,mchumba Nimtafutae Msichana awe na Umr 25-36,elim kuanzia kidato cha 6,sina ubaguz na...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Mimi ni mwalimu katika taasisi mojawapo hapa dsm natafuta mwanamke wa kuishi nae mchumba huyu awe ni mwalimu ngazi yeyote ile pia awe anaishi Dar es Salaam Ni PM kama upo tayari.
0 Reactions
88 Replies
8K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 naishi jijini mwanza na ni mwajiriwa serikalini.Natafuta mwanamke mwenye matako makubwa awe mpenzi wangu na baadaye tuoane.Awe mweusi na mwenye umri...
0 Reactions
59 Replies
31K Views
Habari! naitwa Paul natafuta Mchumba wa Kike kwani nahitaji kuoa soon,Elimu yangu Diploma of Education,umri wangu 29,maji ya kunde pia nipo smart,nafanya Kazi Dar,sio Mrefu wala Mfupi,vigezo awe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serious natafuta marafiki wasio kua kwenye mahusiano yaani single tubadilishana mawazo namna ya kupata wenza. Iwe mwanaume au mwanamke bora karibu PM tuchat. Kila mmoja atuambie ilikua kwa sasa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom