Mimi ni kijana wa kiume, nina miaka 28.Ni mfanyakazi na elimu ni shahada ya awali.
Dini yangu mkristo. mimi ni mrefu, sio mnene. rangi yangu maji ya kunde.
Najitokeza hapa kwa mara nyingine...
Mimi ni mfanyakazi idara ya fedha katika halmashauri flani hapa Tz, natafuta mchumba au mke wa kuoa ambae yupo tayari na awe ni muajiriwa serikalini pia.
Habari wanajamvi,
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kimojawapo hapa dodoma,nipo hapa kutafuta rafiki wa kike kutoka chuo chochote,hata kama sio mwanachuo nafasi ipo,npo serious katka hili dada...
Msichana mzuri na mrembo mwenye sifa zifuatazo anipm; education level:4m6 to bachelor degree
Age:18-23 religion:christian
Healthy status: not having HIV/AIDS
Virginity: you must have a virgin...
A very brief discription of mineAge- 36 yrs
Status- divorced(forced- i will explain why)
Occupation- engineer
City- DSM
Who i need- girls/mother above 27 yrs( awe anajishughulisha na chochote kile...
Jf natumai muwazima wote,
Leo naja humu kwa lengo moja tu ni story ndefu ila jua moyo wangu uko na amani sasa kutokana na maumivu ya mapenzi kwa muda mrefu na sasa nimerudi kwenu , kwa...
Nieleweke si mimi ni mtu wangu wa karibu anahitaji.Ni mwanamke btn 30 to 35 mrefu kias,i mweupe,mchaga,elimu diploma,mkristo mcheshi, mkarimu ana hofu ya mungu ,naishi Arusha mengine mtazungumza...
MIMI NI KIJANA WA MIAKA 21. NAJITOKEZA KATIKA UKURASA HUU KUTAFUTA RAFIKI WA KIKE AMBAYE KAMA TUTARIDHIANA, TUJE TUISHI PAMOJA KAMA MUME NA MKE HAPO BAADAYE. NASOMA MWAKA WA KWANZA CHUO FULANI DAR...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.