Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nipo morogoro 26 yrs! Nahtaji binti MNENE rang yeyote na si mkorogo.. Ni pm au nitext kwa 0682426894
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani natafute mke wa kuoa elimu form iv umri 18-26 had chuo kikuu mie mjasiliane umri Wangu 30. niPM kwa anayehitaji
0 Reactions
2 Replies
969 Views
Wife material anahitaji. SIFA::::: Ni PM nikwambie.. Kuhusu Mimi. 1. Umri 29 2. Elimu: PGD 3. Nimeajiriwa N.B Mke tegemezi hapana.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
mm ni mwanamke nasoma chuo flan hivii hapa tz natafuta mwanaume wakunioa awe ameenda age,awe na kazi yaan kiufup awe anajiweza,mm nina mtoto mmoja wa kiume if u are serious karibu kama sio...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Aliye tayari anipm
0 Reactions
2 Replies
729 Views
Kwanza nawasalimu. Najitokeza hapa kutafuta mwanamke wa kuoa aliye tayari, awe na mwili wa wastani tu au mwembamba mrefu wa wastani tu, awe ameajiliwa, Elimu kuanzia form 4 na kuendelea...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Naitwa Geofre wa Mbeya nna miaka 23 natafuta mchumba wa kuoa mwenye sifa zifuatazo,awe maji ya kunde,mnene kiasi,mrefu kiasi,awe na mapenzi ya kweli pia awe anajali upendo wake.kuhusu mimi nna...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Upweke umenishinda jamani natafuta rafiki kwanza mapenz yatafuata badaye kama kila m2 atampenda mwenzake tena upendo wa kweli(MUME WA MTU NA ULIYE NA MPENZI HAPA HAPAKUUSU WE PITA 2 NI KWA WALE...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume 30yrs baada ya kutoa mada hapa JF kuwa Mke wangu Ana papuchi kubwa. Amekamata simu yangu na kusoma comment baadae Ameniacha kabisa na kuondoka na House girl. Sasa sina papuchi...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
da! upweke umenishinda minatafuta rafiki kwanza mapenz yatafuata badaye kama kila mmoja ata mpenda mwenzake tena upendo wa kweli (KAMA UNA MKE AU UNAMPENZ APA HAPAKUUSU NI KWA WALE WALIO SINGLE)...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natafuta dem mwnye miaka 18 had 20 awe n mzur,awe modo k aina lkn cyo sn km una vgezo hvyo replay then ntajua 2wacliane vp n awepo dar es salaam
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Mimi Ni Kijana Wa Kiume,nina Miaka 27,elimu yangu ni Diploma, mimi ni mkristo, ninatafuta mchumba wa kike, sura ya kawaida, mkristo, elimuyoyote, umri asizidi miaka 26, tuwasiliane kupitia 0763175935
0 Reactions
30 Replies
7K Views
mimi sina kitu kwa sasa ila napambana na maisha, natafuta rafiki wa kike ambaye nitakuwa naye bega kwa bega katika kushirikiana naye katika kutafuta na ikiwezekana muda ukifika basi tunaweza...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Ntumai mu wazima wa afya wana jf, mimi namshukuru Mungu niko safi. Ni kwa muda sasa nimekuwa sionekani kuchangia mada yoyote katika jukwaa lolote, ni kutokana na majukumu ya hapa na pale. Ndugu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajamvi,nimerudi tene kwa ajili ya kutafuta mchumba/mke baada ya mwaka jana kuja hapa na kuweka post ya kutafuta mke nilipata kuwasiliana na wasichana wawili ila hatukufikia popote coz...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Awe na vigezo hivi mrefu, maji ya kunde na awe ameokoka
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Am a foreigner,looking for a girl just for friends.there are benefits.just pm me for more.
0 Reactions
1 Replies
784 Views
Ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37,natafuta girlfriend ambaye atakua mchumba na baadaye mke wa ndoa,awe na umri kati ya 26-35 asiwe kibonge wala mfupi saana,mkristo lakini kabila na rangi wala...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wandugu. Itakumbukwa siku chache zilizopita nilikuja humu kuomba ushauri baada ya kutoswa na mwanamke ambaye tulishafikia sehemu nzuri katika mahusiano yetu. Kwanza napenda kutumia nafasi...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Wa jf heshima zenu. Natafuta mchumba ambaye badae atakuja kuwa mke wangu.Awe ni binti mwenye heshima na upendo, awe na mwili kidogo, ila asiwe mfupi wala mrefu, asiwe askari wa jeshi lolote.Akiwa...
0 Reactions
4 Replies
907 Views
Back
Top Bottom