Nichukue nafasi hii kuwashukulu wana jf! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ninatafuta mchumba aliye serious ambae siku za usoni tutakua mke na mume.
Baada ya kuachana na yule...
Kama wewe ni mwanamke mpweke waitaji kijana wa kukuliwaza kwenye life niko hapa sasa hii ni ofa na wa kwanza kuwahi ndio huyohuyo ntakae kua nae
VIGEZO NINAVYOTAKA
umri miaka 27 mpaka 50 uwe...
heshima kwenu wakuu,mm ni kijana mwenye umri wa miaka 29 nahitaji mke wa kuoa aliye serious na uhusiano,dini,kabila na elimu si kipingamizi,first priority itatoka kwa mwanamke mwembamba sana,mm ni...
Natafuta mwanamke aliyetayali kuolewa na awe na vigezo vifuatavyo: 1.Elimu kidato cha nne na kuendelea,2.Mwenye hofu ya Mungu,3.Umri miaka 25-30,4.awe ameajiliwa au mjasiliamali shwari tu, 5.Rangi...
Habari zenu Ndugu zangu?
Kwanza nafuraha kuwa mahala hapa, Mimi ni Mvulana wa miaka 29, nimeamua kutafuta mwenza wakuishi naye, ili nianze maisha mapya kabisa ya uraiani baada kutoka jela tarehe...
Hi guys
I am a reserved kind of a common man, somehow Outgoing and a bit funny as well. I have a longing in me to have a lady company to share stuffs, challenges, get more insights on women and...
Ni matumaini yangu mu-wazima nyoote kwa pamoja.
Mimi ni kijana aged 28 years old na pia ni degree holder being attached at somewhere kimajukumu.
Lengo mahsusi la uandishi huu ni kutafuta mchumba...
Maisha na huyu mke wangu yamenishinda kabisa, ila bado nahitaji mahusiano na mwanamke. Natafuta mwanamke ambaye hana mume kwa sasa umri above 27yrs ili tuanzishe mahusiano, umri wangu ni >27 <...
Mimi ni mvulana wa miaka 26.
Nina elimu ya kawaida, Shughuli zangu ni Biashara na ufundi.
Ni mkristo,natamani kuoa ila bado sijampata mwenye target kama zangu that way nko hapa kutafuta mwenye...
Mi ni kijana wa miaka 28 Niko dar natafuta marafiki wa kike ambao tutakua tunachat na kubadilishana mawazo.
Yule nitakae endananae tunaweza ata kua wachumba au wanandoa.
Lakin tunaanza na...
Utamu wa maisha ni pale unapojua kuwa unahitaji maisha ya aina fulani.
Japokuwa tunaumizana kila siku hiyo haipunguzi wingi wa harusi kila uchao kwenye majumba ya ibada na serikalini.
Nami leo...
Mimi nikijana niliyejiajilia natafuta mwanamke aliyetayari kuishi na mimi katika shida na raha umri kuanzia miaka 18 na kuendelea awe na elimu kuanzia kidato cha nne aliye tayari anipm.
natafuta rafiki wa kike ambaye tuje tuwe wanandoa,napatikana mwanza,ni muajiriwa serikalini na cjawahi kuoa wala sina mtoto
sifa za ninae mtafuta
-age 18-21
-maji ya kunde
-mrefu
-mnene...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.