Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
1. Age 33-35 2. Awe mchagga 3. Awe anapenda kufanya mila 4. Awe tayari kufunga ndoa ya kimila. Serieous. Kama vp ni PM
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, Mimi ni Mvulana wa miaka 28, Natafuta Mchumba wa kufanya nae maisha, awe na umri kuanzia 20 - 26, kabila lolote kasolo Mzalamo, Awe mkristo mwenye kumuogopa Mungu, hata...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni mvulana miaka 28, naishi dar natafuta mchumba mkristu, kwa walio siriaz tu. Ani pm
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Mimi ni mvulana umri 30 yrs. Mwajiriwa. Natafta girlfriend age 20-32, Mwenye mahitaji sio mbaya akini pm au 0717088198
0 Reactions
3 Replies
802 Views
Natafuta mume WA kunioa tuishi milele inshaala awe muislam,,,umri uwe kuanzia 35 NA kuendelea sitojali kama unamke,,,,maisha yawe at list uwe unayamudu,,,,,awe anaishi far au sehemu yoyote sijali...
2 Reactions
45 Replies
7K Views
Awali ya yote namshukuru Mola muweza wa yote. Pili naishukuru JF kwa kuanzisha jukwaa hili la LOVE CONNECT. Bila shaka jukwaa hili limeunganisha wapenzi wengi,japo ni jukwaa ambalo baadhi ya...
3 Reactions
85 Replies
6K Views
Kichwa cha habari chajieleza ni PM umri wangu 28 kwa maelezo zaidi, sichagui dini, umri, kazi wala kabila.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji msichana wa kuoa. Age: 33-37yrs Asiwe na mtoto kama unafaa ni PM
0 Reactions
3 Replies
902 Views
Wadau Kama Title Yangu Inavyo jieleza,nahitaji Girlfriend Awe Under 22yrs Same To Me So Nahitaji Girlfriend Wa Umri Huo Ili Tuweze Kwenda Sambamba, Mengine Zaidi Tutafahamishana Kupitia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Natafuta mtoto mzuri anaejua namna ya ku enjoy mapenz awe na english figure,mweupe, collage au high school,christian,umri miaka 20-23 akinata na beat nikinata na beat basi ndio wife huyo....cause...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msichana awe na sifa zifuatazo :Awe mwislamu :Awe mfupi kiasi,coz mm ni mrefu. :Rangi: yoyote :Body type: Bantu type :Umri 22-25 :Elimu atleast Form4 :Awe anajua kutafuta Maisha, sio mtumiaji tu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina miaka 37...Hawe ni mwanamke anayejitambua na anajua maana ya maisha anayejali na kutambua umuhimu wa mwenzake katika maisha. Nina jiheshimu na ningependa Kupata mwanamke wa haina hiyo...
1 Reactions
113 Replies
11K Views
uko wapi ubavu? Mume muislamu,umri wake miaka 30-35.Awe mwajiriwa au shughuri yoyote inayomwingizia kipato,mrefu mwili wa wastan,kabila lolote. Rangi yeyote ila akuwa mweupe itakuwa vema.AWE NA...
1 Reactions
84 Replies
12K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wazi. Kwa jina naitwa Milembe Anthony-24 yrs. Pia ni mawanafunzi wa shahada ya kwanza katika elimu na utawala chuo kikuu cha mzumbe kampasi kuu Morogoro...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari Naitwa Nelson Richard wa Arusha, ni kijana mcheshi, mwenye bidii na ninaye heshimu watu. Nina elimu ya chuo na kazi ya ofisini. Kutokana na majukumu ya kazi nakoswa muda wa ku-mingle...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wadau, Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikiishi peke yangu na sasa natangaza rasmi nahitaji mke humu ndani nipo Mwanza nina 30yrs nimeajiriwa nahitaji mwanamke anayejitambua asiwe mnene...
0 Reactions
76 Replies
6K Views
Habari! Naitwa Nelson Richard wa Arusha, ni kijana mcheshi, mwenye bidii na ninaye heshimu watu. Nina elimu ya chuo na kazi ya ofisini. Kutokana na majukumu ya kazi nakoswa muda wa ku-mingle hivyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hi all, I'm a single gentlemen, social, energetic, hardworker with vision hereby looking for a single lawyer to initiate a relationship with intention to create a Domestic relationship. The...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Je ni kweli kama mwanaume ni bikira ni lazima amwoe mwanamke bikira? na je bikira ni tiketi ya ndoa imara? Je kisaikoloj
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni mwalimu kijana wa kiume natafuta mwalimu wa kiki mwenye umri uzio zidi miaka 25 kama upo tayal nicheck p.m
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom