Umri wangu ni kati ya miaka 35 na 45 pato langu kwa mwaka ni kati ya tsh 30m na 60m natamani kupata dada/mama ambaye hataona shida kupata nae mtoto moja tu.
Nataka atakeyependelelea awe na kazi...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ni mwajiriwa serikalin natafuta mke wa kuoa . Kwa sasa nipo mwanza kikazi
Sifa
Mwislam na mcha mungu
Umri 20-29
Kabila rangi sibagui
Elimu kuanzia form...
Staki kuzubaa miye. Nami natafuta. Natafuta mwanamke ambaye tutakuwa marafiki kwanza halafu polepole kuhamia kwenye uhusiano wa kimapenzi.
Papara staki. Nataka kwenda tartiibu.
If interested...
Natafuta msichana na mie kwa urafiki kwanza, na tuki click, tutaanza mapenzi. Naishi nje ya Tanzania ila ningefurahi kama wewe unaishi Tanzania, tunaweza kutembeleana nilipo au ulipo wewe. Sichagui.
Wadada wa JF mnanichukia hivyo au kwa sababu ya post zangu za kuwananga ,huwa nawatania tu maana nimepost kutafuta mke humu naona mnapita kimyakimya no like no reply no PM msinifanyie hivyo...
Mimi Ni Kijana Mwenye Miaka 24
Natafuta Msichana Wa Kuoa mwenye Sifa Zifuatazo.
1.Umri Ni Kuanzia Miaka 18~22,
2.Awe Na Tabia Nzuri
3.Asiwe Anapenda Sana Pesa
4.Asiwe tapeli...
Kwa binti aliye tayari tu kuolewa na mwenye kazi iwe ya Ualimu, Nurse au kazi yoyote halali namkaribisha sana.
Awe serious tu katika hili, aliye tayari ni-PM.
Hii ni kwa mabinti/wanawake tu...
Habari.
Kwa moyo mweupe kabisaa bila kulazimishwa na mtu yoyote, nimeamua kupost huu uzi hapa nikiamini ntakuwa faraja kwa mmoja wa wahusika hawa.
Mwanaume ulieumizwa kimapenzi au kukosa furaha...
@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.
wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana
Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time...
Nina miaka 45,nina nia thabiti na ya kweli kabisa,nipo hapa natafuta mke ambae yupo tayari kufunga ndoa.Sina ubaguzi wowote,mwanamke ninaemuitaji awe na dhamira ya kweli kufunga ndoa na si...
Natafuta mwanamke awe na umri wa miaka 20 mpaka 35. nitampa mapenzi moto moto, sibagui dini wala kabila wala upande wa muungano atokao. wala mkoa. taratibu za kujitambulisha tutazifanya baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.