Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nahitaji mwanamke wa makamu, (40-/40+), mwenye upweke, aliyeko tayari aingie pm aniachie namba. Kama ni mjane au umeachika itakuwa poa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Binti kuanzia miaka 20 kuendelea anayetaka kuingia katika mahusiano ani pm
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume age 26 mkiristo na msukuma ninaishi dar hadi mwakani mwezi wa tatu. Msichana aliyesiliazi, mkristo. Age 27 aliyepo single elimu form 4-bachelor. Askari na manesi siwataki...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Hi! naitwa Jaffery Adam, ninaumri wa miaka 21. Natafuta rafiki wa kike, awe na miaka 19-23 awe mwembamba kiasi. hatakama hana kazi, awe na upendo wa kweli. ukiwa tayari unanipata kwenye no...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Ni matumaini yangu kuwa nyote ni wazima. Kama title inavyojieleza hapo juu, kifupi mimi ni kijana mwenye sifa zifuatazo; Nina umri wa miaka 27, ni university graduate, athletically si mrefu sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani hata mimi nahitaji mwanamke wa kuoa niliyokuwa naye alikuwa matumizi ya hapa na pale kama burudani. Nipo serious na hii ishu ya kuoa maana nimechoka kuibaiba visivyo halali. SIFA ZA...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa niaba ya Rafiki yangu Othman, natoa nukuu ifuatayo kwa kinadada. Ninatafuta Mchumba muislamu mwenye kati ya umri wa miaka 23 hadi 2, awe na sifa zifuatazo: Muislamu wa kweli, mwenye heshima...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni kijana wa miaka 23 Natafuta girlfiend wa miaka 18~23 PM me if u ar ready
0 Reactions
1 Replies
953 Views
I need a girl for marriage 18~22 Contant me 0756519684
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni kijana umri miaka 24, natafuta mrembo humu ndani. Vigezo. •Umri kuanzia 18~22 •Awe mrefu wa wastani ila sio sana , na hata ukiwa mfup kama kistur sio mbaya •Awe mweupe natural...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni kijana,mwenye umri wa miaka 32, mtanashati, muelewa, mwajiriwa wa serikali. Natafuta mwenza wa kike ambaye atakuwa mke wangu, awe at least Diploma level and above, awe mweupe kiasi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wanaJF natafuta msicha mrefu mrembo msomi mkristo anayejiheshimu umri awe 18-26yrs. kazi yangu nimjasiria mali. NiPM
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau na hasa wadada warembo wa MMU,poleni na majukumu.i'm not an active member of this site,just logged in for a special mission. I'm tired of of this lonely life, so i have come here to look...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Hellow friend,mimi ni msichana mwenye miaka 25,natafuta m2 aliyetayari kunioa. sifa awe na miaka kuanzia 27-33 awe na elimu kuanzia degree1 au mjasiliamali mwenye mapenzi ya kweli awe...
1 Reactions
21 Replies
13K Views
wanajf natafuta msicha mrefu mrembo msomi mkristo anayejiheshimu umri awe 18-26yrs. kazi yangu nimjasiria mali. karibun
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Mimi ni kijana ninayejitambua, natafuta mpenzi ambaye ataniondolea upweke nilio nao aliye tayari tuwasiliane sasa hivi.
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Najitokeza hapa maalumu kwa jambo moja tu, Natafuta mke mwema, mcha mungu, awe mfanyakazi na awe na umri wa kuanzia miaka 20 -26, aliye serious tu. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naitwa Dany nko Iringa natafuta mchumba wa kumuoa awe na umri wa miaka 18-24 awe mkristo kwa ambaye yuko tayar 2wasiliane 0769989922,0719979922
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu kuwa nyote ni wazima. Kama title inavyojieleza hapo juu, kifupi mimi ni kijana mwenye sifa zifuatazo; Nina umri wa miaka 27, ni university graduate, athletically si mrefu sana...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Ni matumaini yangu kuwa nyote ni wazima. Kama title inavyojieleza hapo juu, kifupi mimi ni kijana mwenye sifa zifuatazo; Nina umri wa miaka 27, ni university graduate, athletically si mrefu sana...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Back
Top Bottom