Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Sifa pale inapostahili jamani tuwe tunawapa wausika. waislamu tumekuwa tunasimanga sana kwa ukatili. mabomu ya kujilipua wenyewe, mara sijui nini, jana nimepata bahati ya kusikia mawaidha kuhusu...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Jamani enough is enough miaka 31 na bado kila mwanamke namwona si chaguo langu, ni yupi mungu ameniandalia mimi kuwa wangu wa maisha?? Je ni wewe mdada unaesoma hii meseji?? C'd it be you? Nina...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 22, ni mtu wa kujituma na kuhustle katika life..natafuta girlfriend mzuri mwenye upeo..ambaye tunaweza tukasaidiana kimapenzi na hasa hasa katika michakato ya kimaisha...
0 Reactions
6 Replies
929 Views
Kwa kuokoa mda natumai wote msomao uzi huu mko poa, Jioni hii najitokeza tena kwa mara ya pili kutafuta mchumba wa kuwa mke na si girlfriend or otherwise, Hii inakuja baada ya kupitia hard time...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Natafuta mpenz wa ukweli.
0 Reactions
0 Replies
631 Views
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42,natafuta mwanamke mwenye jinsia mbili(shemale)awe mke wangu wa maisha,nina dhamira ya kweli na nipo serious kwa hili napenda kuoa mwanamke mwenye jinsia...
0 Reactions
77 Replies
21K Views
Jamani mimi ni kijana wa miaka 25 wapi ntapata mchumba mwenye mapenz ya kwli.
0 Reactions
36 Replies
3K Views
hivyooo....
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi! All,natafuta mwanamke /binti wa kuwa nae kwenye mahusiano ambayo badae yanaweza kuzaa ndoa au kuburudishana tu!.nina 26 yrs,ambae yupo serious ani-pm,umri,elimu sio tatizo! Kikubwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutokana na kukosa muda wa kujichanganya na watu inaniwia vigumu kumpata mwenza wangu. Hivyo nimeamua kumtafutia jamvini. Sifa zangu: Nina umri wa miaka 39, sivuti sigara wala sinywi pombe ni...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau natafuta mchumba vigezo na mashart kuzingatiw
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Salaam. Mimi nina (25yrs), mpole, muaminifu, mkarimu na mwenye heshima kwa wote na degree holder. Natoka kwenye familia ya kawaida sana ambayo haina urafiki na familia yoyote bora, nipo hapa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
:A S kiss::A S-heart-2:i need girl from jf who is under 21 in years so plz just find me on 0716468823:cool2:
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 45,natafuta mke hasiyependa Ngono
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana MMU ninatafuta mchumba( Mwanamke) Vigezo Awe wa wastani siyo mrefu au mfupi sana,degree moja ya social issues au hata akiwa na mbili it's fine Awe mcha Mungu,Christian will be an...
0 Reactions
318 Replies
20K Views
Mi ni me(26yrs),natafuta mwanamke wa kuchumbia mpaka ndoa,nipo muleba kagera.sibagui dini,elimu na umri ila asiwe bibi.mi ni degree holder,kwa aliye serious ani-pm.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nawasalimu wana JF Natafuta rafiki wa kike mwenye hofu na Mungu anaye jitambua na asiwe limbukeni na dunia, awe na nywele za asili anayependa kuwa halisi kwa muonekano, elimu ni kigezo cha ziada...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Habari wanajamii. Mimi ni kijana mwenye wa miaka 25, ninafanya kazi kwenye kampuni fulani hivi ya kigeni, elimu yangu ni kidato cha sita. Natafuta mchumba awe na sifa zifuatazo. -awe mwenye...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Kupata mke wa kuoa hapa jamii imekuwa kasheshe kubwa sana kwangu mimi kila mwanamke ninaekutana nae anataka niwe na mjengo na nisiwe na watoto,nina miaka 42,tangu nikiwa na miaka 37 nimeanza...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Nitakuwa mtwara kwa kipindi cha miezi sita kikazi niko single so kama uko interested lets mingle huwezi jua unaweza kuwa muke ya Boss
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom