Mimi ni kijana mwenye umri Wa miaka 27 natafuta rafiki Wa kike ammbae tukikubaliana tuwe wachumba. Nafanya kazi katika kampuni ya mawasiliano hapa Dar. Aliyeteyal ani Pm
Habari waungwana, I am 25 kwa umri. A girl, looking for a serious relationship, am a banker, 2 yrz in work, alie serious tafadhali ,ready kwa kuanzisha uhusiano wa kudumu, na kulifikia lengo la...
Habari zenu wakuu,
hivi linapokuja suala zima la kutafuta mke au mume dini huwa haizingatiwi?
maana kuna matangazo humu huwa yananishangaza, unakuta mtu anabandika katangazo cha kusaka mke/...
Mimi ni kijana mwenye miaka 34 natafuta mchumba mwenye sifa sifuatazo kwanza awe mcha mungu pili elimu ya kawaida tu asiwe mlevi.mwenye kubadilika kutokana na wakati.
Mwenye kupenda maendeleo...
Mimi in kijana wa Kitanzania na tafuta msichana wa kuoa tukiridhiana awe dini yeyote awe mywaji kidogo elimu Form six, chuo. Aliye tayari ani PM tutawasiliana zaidi popote alipo nitamfuata
Natafuta mke mwema, mcha mungu mlutheri, mchagga, mweupe, awe anashughuli zake binafsi au ameajiriwa, awe na elimu ya kidato cha 4 tu na si zaidi.
Awe tayari kuanza maisha kuanzia ngazi ya chini...
Mimi ni mdada nina miaka 32 natafuta marafiki wa ukweli wa jinsia zote wenye umri kati ya miaka 32 na kuendelea nafanyakazi,
Naishi dar tuwasiliane kupitia bintiwakikwere@gmail.com
Mimi ni kijana wa miaka 38 na elimu yangu ni shahada natafuta rafiki wa kike kuanzia miaka 33 kwa ajili ya kubadilishana mawazo ya kimaisha. Masuala ya ngono hapana.
aliyetayari ani PM.
Heshima zenu wakuu:
Ninatafuta msichana aliyeserius na maisha , ikiwezekana tutaoana. Awe mwenye umri kati ya 21-27. Kwa urahisi wa kuonana, akiwa anatoka kanda ya nyanda za juu kusini, moro na...
Awe anaishi Zanzibar(Unguja au Pemba)
Mwanamke mwenye vigezo vifuatavyo:-
-Kipaumbele uwe Umri kuanzia 35-55
(chini ya umri huo itafikiriwa ili kujua kiwango cha usumbufu)
-Watoto sio tatizo...
aboy aged 23.looking for abeautifull sugermumy all over the world.my email are jasperkandakome@gmail.com or conterct me on +255753638460.im da price of love baby.
WELCOME TO NEW WORLD
Napiga hodi wana JF humu mnikaribishe
Ila nitafurahi sana endapo nitakaribishwa kwa kutimiza ndoto ya maisha yangu, mimi nipo single,ni mwanaume wa miaka 26 natafuta mchumba mdada mwenye mapenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.