Naitwa James, napatikana Iringa, umri wangu ni miaka 26, sijaoa na ni mwanaume, nimejitokeza kwa mara ya kwanza hapa kutafuta mchumba mweupe wa kabila lolote ila asiwe anatokea mbali sana toka...
Habari. Mimi ni kijana wa miaka 29 naishi Kinyerezi nafanya kazi kwenye kampuni binafsi, natafuta binti awe mchumba ambaye atakuwa mke baada ya kufanya taratibu zote.
Awe na sifa zifuatazo
Umri...
Habiri wakuu,
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka isiyozidi 29 lakini haipo chini ya 25. Natafuta rafiki wa kiume mwenye Umri usiopungua miaka 30 but usizidi miaka 45. Awe anapenda kusocialize...
haya wana jf kwa wanaohitaji mke maridhawa.....
NATAFUTA MUME
Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma nina kazi nzuri, na pia naamini ninavutia kiasi kama mwanamke.
Nimetoka kwenye...
Miaka 21-26 kama upo free hauna mme unapenda kuliwazwa na kustahareheka nipm.
Vigezo ni msichana tu kabila lolote, rangi yoyote, dini yoyote karibu we dada.
Habiri wakuu,
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka isiyozidi 25 lakini haipo chini ya 21. Natafuta rafiki wa kike mwenye Umri usiopungua miaka 20 but usizidi miaka 35. Awe anapenda kusocialize...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, elimu ya wastani, maji yakunde, mkristo,
Natafuta binti mwenye heshima, anayejipenda, anayejua kupika,anayependa usafi, mweusi/ maji ya...
Habari Wadau wa love connect, mm ally niko Zanzibar, nina miaka 26, Nimemaliza degree nafanya kazi natafuta mchumba kwa lengo la kupanga maisha hapo baadae tukiwa wote na kufunga ndoa. Sifa za...
Mimi ni kijana wa kiume miaka 28 sijaoa natafuta mke nipo sirias nimeshajipanga vya kutosha nikimpata ndoa december 2014 kama kuna dada yupo tayari kuolewa tafadhali wasiliana nami kupitia email...
Mimi mwanaume mwenye miaka 46,ni muda mrefu nipo hapa Jamii natafuta mke,kwakweli wanawake wote ninaowasaliana nao hapa maswali yao yapo ktk kipato na Nyumba,wote wana interest ya niwe na kipato...
I am in Mwanza right now, natafuta binti aliye around Mwanza for dating ..... awe around 20's .... kama hujaupenda ujumbe usitukana bt u may criticize coz critics are not book writers. au weka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.