Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafta mpenz wa kuwa nae,awe mwanamke,awe si super staa,pia awe na tabia nzur na asiwe tapel kwan cpendi kuumizwa.Napendelea wa umbo lolote,nko arusha!,anaweza kuweka namba hapa ntamcheki!
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Jamani MMU nahitaji mke mwema awe na sifa zifuatazo;bikra,elimu kuanzia form4,mkristo,mcha Mungu,mrefu kiasi,mweupe kias
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Warembo fursa hii hapa natafuta mchumba umri usizidi miaka 30 uwe mkwel ,mrembo / black beaty,mchapakazi ,elimu / willing to lean nd relocate to where im living ( uganda ) *sifa zangu elimu...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Niko na natafta mke.
1 Reactions
33 Replies
3K Views
I am a Tanzanian girl aged 21,am looking for someone to hold up my feelings,who will advice me in difficult things,who will treat me like his wife, the one who will stand by my side through thick...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Mimi Ni Kijana Mwenye Umri Wa Miaka 25. Natafuta msichana ambae tutafunga nae ndoa. Vigezo; Awe Na Umri Wa Miaka 18~23. Awe Na Tabia Nzuri
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Serious jmn,kama upo okay ni pm soon
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wadau wa love connect... Naomba mnipokee mimi ni mgeni jukwaa hili. Asante...!
0 Reactions
1 Replies
733 Views
Warembo fursa hii hapa natafuta mchumba umri usizidi miaka 24 uwe mkwel ,mrembo,mchapakaz ,elimu,maji ya kunde kabila na prefer mchaga *sifa zangu elimu yangu chuo kikuu,mfanya biasharaa mdogoo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
What's up, all Kenyan women, I am Tanzanian youth with 32yrs, struggling for divorce or an unmarried woman with age 40+, with serious need of love, to a little bit she must be well-off...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaman natafuta mke wa kuoa kisura umri 18-26 elimu sekondari hadi chuo kikuu mie nna elimu ya chuo. mwenye vigezo pm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mfincha upweke mawazo humiumbua kwa wanawake tu kwani wengi wasimbiliwao na upweke ni wanawake nawakarinisha ktk grup la ushairi ktk whasup waje pm kwa msaada zaidi
0 Reactions
2 Replies
939 Views
Nahitaji rafiki wa kike kwa urafiki wa kawaida tu. Madhumuni hasa ni kuchat juu ya mambo mbalimbali ya maisha kwa ujumla (opportunities, professional, biashara, kilimo hususan cha biashara...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi.mm naitwa mlossy ni mwanachuo wa chuo cha kodi (ita)dsm,natafuta mchumba wa kumuoa kwani maisha ukapela yamenichosha.kwa aliye tayari tuwasiliane kupitia 0713153696/0754953637.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mie naitwa john natafta mke,sijali dini wala kabila wala umri..... msichana yyte ambaye yuko tiari kua na mie anicheki kwa contact hiz... 0756763448 AU 0657035695 karibuni...........
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta mwanamke wa kuoa awe na umri wa miaka chini ya 24 kabila lolote aliye tayari anitafute Kwa 0759941394.
0 Reactions
3 Replies
958 Views
HELLO JF Natafuta mwanamke wa kuowa yule atakaeleta utulivu katika nafsi yangu sifa za ninaemuhitaji ni: 1 awe mrefu kiasi si chini ya futi 5.0 2 awe na si muajiriwa 3 awe anatoka katika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aliye single na anahitaji mpenzi au rafiki nipo anitafute. umri, elimu na kazi sio issue nitamheshimu na kumjali.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mim ni mwanaume umri miaka 31 sichagui mwanamke ni yeyote anaye his anaweza kuwa mkewangu
0 Reactions
1 Replies
975 Views
Natafuta mchumba na baadae awe mke, sifa zifuatazo; 1. Awe mrembo (Habari za uzuri tabia, mara kwenye macho ya blah blah sitaki) 2. Asiwe mpiga mizinga (Mara hela ya kusuka, mara ya vocha mara...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom