Nakupenda kwa moyo wangu wote, zaidi ya maneno yoyote yanavyoweza kuelezea. Wewe ni mwanga wangu wa jua katika kila siku, na furaha yangu inapata maana kutokana na uwepo wako.
Ninasubiri kila...
Natafuta mke wakuoa mwenye umri kuanzia 32 mpaka 38, kabila lolote, Dini awe mkristu. Mimi nina umri wa miaka 35, mkristu pia, kazi ninayo awetayari kupima.
Kwa mawasiliano zaidi karibu pm tuma...
Habari zenu,
Mimi ni binti mwenye miaka 24, natafuta rafiki, mpenzi ambae tutajenga urafiki na kama Mungu akijalia tufunge ndoa.
SIFA ZANGU
1. Mrefu maji ya kunde.
2. Nina mwili kiasi.
ELIMU...
Nahitaj mwanamke yeyote umri sichagui lakin usiwe mnene, kwa ajili ya kuridhishana kimapenz tuu, tutasaidiana panapowezekana.
Sihitaj mahusiano ni pale tunapohitajiana tuwasiliane tofaut na hapo...
Wanajf mimi ni kijana mkazi wa Arusha miaka 37, msomi kias na pia mjasiriamali, maji ya kunde na mrefu kiasi, mkiristo.
Future wife awe na sifa hizi;
~ Miaka 32 kushuka.
~ Mweupe (weupe asili).
~...
Asalam aleykum
Naitwa M ni mwanamke wa miaka25 muslim nina elimu ya dini pamoja na stashahada ya pharmacy
Nahitaji mwanaume awe muislam mwenye kujitambua na anayejua nini maana ya mke enough...
Jina : Albus
Dini : Muislam
Umri : 29
Mkoa : Mwanza
Kazi : Dereva
NAHITAJI MCHUMBA umri kuanzia miaka 20 mpaka 27
Sichagui dini Wala kabila
Kwa aliye tayari anaweza kunipata Kwa 0753112138
Ahsante
Miaka yangu ni 37
Naishi mkoa wa Dar
Kazi yangu kwa sasa AFISA WA BANK ( jina kapuni
Miaka kuanzia 25 kuja juu chini ya 25 usije Dm
Awe na mtoto kama huna mtoto usije coz mimi nina watoto
Awe...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30
1. Ni msomi ngazi ya Bachelor Degree
2. Kazi yangu ni usafirishaji wa mizigo.
2.Dini ni mkristu.
SIFA ZA MWANAMKE NINAYE TAFUTA
1. Awe tayari kuolewa.
2...
Naitwa Emason umri Wangu miaka 35, Elimu yangu Degree, Ajira yangu nipo serikalini, lakini pia nimewekeza katika business, situmii kilevi chochote, Mimi ni mkristo, pia nipo social sana, siyo...
Kutokana na hali jinsi inavyokwenda kweli wanawake wanahitaji stara, wanaume wenzangu tuongezeni speed ya kuwasitiri.
Binafsi nipo tayari kuongeza mke, natangaza nafasi kwa alietayari kuupokea...
Nina muda mrefu kidogo nawasaidia wanawake na wanaume kuoana. Nawashauri mambo yafuatayo:
1. Usitafute mtakatifu, hayupo hutampata.
2. Punguzeni vigezo vya kuchagua umtakaye, dunia imebadilika...
~ Naishi Dar
~ Mkatoliki
~ 28 yrs of age
~ Nina mtoto 1
~ Mwajiriwa
Niko serious nahitaji baba wa familia, hata kama sipo najua wanangu wako mahala salama.
Kwaresma njema.
Sent from my SM-A125F...
Nina miaka 30, nimeajiliwa na kipato namshukuru Mungu kipo fresh.
Naishi Dar es Salaam. Sina mtoto, dini mkristo. Urefu 6'2, maji ya kunde.
Natafuta mke, awe mwalimu, regardless chekechea...
Habari wapendwa wote hapa jukwaani.
Najitokeza kutafuta mke wa maisha yangu. Natamani kuwa na familia bora yenye upendo na furaha. Familia bora huanza na mama bora, pamoja na majukumu thabiti ya...