Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Wapendwa nin miezi mitat sasa tangu nianza kaz mkoa wa kigoma my age 25, brown colour, long nose chaga by tribe kwa kwel npo so much lonely if thre is a lady out thare plz let we be friends...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naitwa idrisou , napatikana Moro ila zanzibar ndio nyumbani. Natafuta mpenzi wakike ali hali anipende nimpende maswala ya dini kabira sijari. Umri wangu 24. Bado mwanafunzi nasoma chuo Mzumbe...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi mwanamke nina miaka 31, Natafuta mume wakunioa awe na miaka 33 Nakuendelea nina mtoto mmoja Nahitaji mkristo awe na kazi ya kueleweka , Ukiniona hauwezi kuamini mpaka nikuambie...
1 Reactions
54 Replies
7K Views
Habari wadau, Kwa muda wa kama miezi 3 nimefanya kazi bila kupumzika mpaka ilifika wakati nikaamini haitatokea na mimi nipate muda wa kupumzika.Hapa nilipo ijumaa ndo naanza mapumziko,naiona...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji mume bora, je mume bora ana sifa zipi? Nahtaji mume bora!je mume bora ana sifa zp
1 Reactions
42 Replies
4K Views
1. Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 6.Awe mrefu wa futi 6. 7.Awe anajitambua kuwa yeye ni...
2 Reactions
107 Replies
11K Views
habarini za j2 ndg zangu, namshukuru mungu kwa ibada njema ya siku za leo!!! napenda kuwasalimu wote!! awali ya yote mie ni mgeni humu ila sio mbaya sana mwanzoni kabisa nikaeleza nini haswa...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Umri Wangu 23, Nambar 0717327554. Pia Waweza PM.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni kijana wa umri 28 Nipo hapa kutafuta binti umri 20-27 for future life. Mimi ni muhitimu wa chuo na nimejiajili. Natafuta binti form six nakuendelea, mkristo na aliye serious. Kama upo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nataka mwanamke tutakae anza nae na mungu atujalie tufunge ndoa, Dini sio ishu Awe muelewa na Ajue nafasi yake kama mwanamke Umri usizidi miaka 25. Tafadhalini kwa wanawake tu.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nina miaka 37 na mtoto 1 wa kiume mkubwa ni mwajiriwa wa serikali na mkazi wa Dar. Mume kuanzia miaka 40+ Kwa mawasiliano tumia nuruwaheed@ymal.com
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa kiislam umri wangu ni miaka 29, Mrefu wa wastani, Rangi mweusi, Kabila msukuma.nina degree moja na nimeajiriwa serikalini. Sina mtoto wala mke.Naish dar. Sifa za mtu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta mume Sifa: Mcha Mungu, mwenye kazi inayoeleweka,anaye penda family, mwenyekupenda maendeleo, umri 35-50. Angalizo nina watoto wawili
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari, Wiki hii au ijayo...Natafuta mwanaume anaejua kuogelea maji mafupi na maji marefu, Nahitaji mwalimu mzuri, Awe mrefu kidogo,mwili wa mazoezi!,asiwe mweupe sana,akiwa mweusi ni sawa ila...
1 Reactions
93 Replies
7K Views
Ni mama wa miaka 40 na ni mwajiriwa wa serikali katika halmashauri. Ninahitaji mchumba mwenye miaka 45-55, Kwa aliyetayai anianike gloriafrancis60@yahoo.com
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Ni kijana wa miaka 25,mwenye sifa zifuatazo 1.mwembamba wastani na mrefu futi tano, 2.ni mtanashati ,mpole na naweza kuchukuliana na yeyote 3.elimu yangu ni chuo na nipo mwaka wa pili 4.ni mkristo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WADAU NATAFUTA MARAFIKI WA AINA MBILI. 1.YEYOTE ATAKAEPENDA TUBADILISHANE MAWAZO. Sifa a)Awe na nia ya dhati (serious) b)Umri miaka 18-30 c)Awe tayari kukutana d)Ajue kiswahili au kiingereza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina miaka 40, degree moja na nimeajiriwa na halmashauri aliye tayari anipeem gloriafrancis60@yahoo.cm
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke mwenye sifa zifutazo:- Umri 28 hadi 35, Mwenye kujitambua, Mpenda maendeleo, Mcha Mungu, Mwenye mtoto sawa maana mi ninao, Asiwe mnene
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Back
Top Bottom