Mimi ni mwanaume mwenye miaka 31,elimu yangu ni degree moja,kazi yangu ni mwalimu ndani ya manispaa ya morogoro,kwa yeyote aliye tayari ani pm,awe mkweli,anayejua nini maana ya maisha,awe mcha...
NATAFUTA MKE
Ni kijana wa miaka 26naishi mbeya natafuta mwanamke atakayekuwa mke wangu asizidi 23 miaka
sifa;
.Awe mkiristo
.Aishi popote Tanzania
.Awe anayatambua majukumu yake
.Awe na...
Natafuta msichana mrembo mwenye sifa hizi.
1.Awe mweupe au maji ya kunde.
2.Awe na umbo namba nane.
3.Asiwe mwembamba Sana.
4.Awe na miguu minene.
5.Awe amemaliza Four form mpaka chuo...
Nina miaka 27,
Mimi ni mkristo,
Kabila msukuma,
Elimu na kazi km upo tayali nita kuambia.
Nataka awe na miaka isiyo zidi yangu
Awe mkristo kabila sichagui.
Kama upo tayari tafadhari ni...
Mm Ni Kijana Wa Kiume Mwenye Umri Wa Miaka 23, Nahitaji Binti Wa Kuchat Naye Na Awe Mwenye Umri Kati Ya 18-30, Nambar Ya Sim 0717327554, Pia Anaweza PM.
Aje friends?
Post yangu hapa sio mahala sahihi sana ila naiman mtanielewa..
Moja post hii inawahusu wanaojielewa na watu wazima kuanzia miaka 27 na kuendelea..
Pili ukiwa muajiriwa, umejiajiri...
Mimi nina miaka 27, mweusi wastani, naishi Dar es Salaam na Lushoto.
Ni mhandisi mhitimu ila sifanyi kazi za kihandisi kwa sasa ,nafundisha shule moja ya seminary.
Kipato changu ni cha...
Sijapata PM yoyote toka jana baada ya kuweka Tangazo hapa la kumtafuta mchumba wa kike, sijui ni kwa sababu ya vigezo? ok, nalegeza,
Mimi ni mvulana miaka 27 nafanya kazi mwanza na elimu yangu ni...
Ninatafuta mke sifa ninazotaka,
i) Awe ni doctor au ni mwanafunzi wa MD
umri 23-28
ii) Rangi haijalishi ila itakuwa vizuri akiwa maji ya kunde
iii) Umbo saizi ya kati( yani asiwe mnene wala...
Nataka kuoa, nina miaka 32, natafuta mtu wa kusaidiana naye maisha. Nina watoto 4, mmoja wakiume wa 3 nilizaa nikiwa chuo tena field, huyo mwingine kazaliwa ana mwaka sasa, ila hao niliozaa nao...
Mimi ni dada naishi na kufanya kazi Dar es Salaam, natafuta rafiki/mchumba mwenye umri 33-40 ambaye baadae atakuwa mume wangu. Nahitaji mwanaume ambaye ni muaminifu, mkweli, mwenye hofu ya mungu...
Nina miaka 23,
Nipo Shinyanga
Elimu yangu ni kidato cha sita ndo nimemaliza siku chache zilizopita.
Natafuta rafiki wa kike,ambaye kama tutaelewana kwa baadae tunaweza tukafanya makubwa...
Mimi nina miaka 49 nina mke na watoto 3. Nataka rafiki kati ya miaka 30-45. Awe mstaarabu na kujiheshimu. Asiwe na marafiki wengi wa kike. Mzuri kwa sura na umbo. Awe maji kunde au mweusi. Elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.