Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta Girlfriend, Awe Na Umri Kat Ya Miaka 19 Had 25, Awe Ni Muuguzi Au Mwalimu Au Mwanafunzi Wa Chuo Wa Fani Hizo,
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi huko munakopita hamuwaoni hao wachumba wenye sifa munazozitaka au vipofu? Shauri yenu wengine humu ni majini na wachawi wala sio watu. Mimi ninawaambia hivyo.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kama kuna mwanamke mweye umri wa miaka 28 hadi 40 ambae hana mtoto na anahitaji mtoto au watoto ambao ataweza kulea. Anakaribishwa, ukiwa tayari nitupa email tutawasiliana.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu habari! Najitokeza hapa kutafuta mchumba wa kike ambaye yupo serious tu, awe kanda ya ziwa, akiwa Mwanza itapendeza sana, awe Mwalimu au Nurse, akiwa mwalimu itapendeza zaidi, awe na umri...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28, sijawai kuoa wala sina mtoto. Nina urefu wa 5.4' and 60kgs, nakunywa pombe ila sivuti sigara. Nimtafutaye: 1. Awe amepevuka akili kwa maana kwamba...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Huenda umewahi kuumizwa na wasiojua kupenda/kupendwa au hata kama siku zote umekuwa ukisubiri, nina imani kwa uzi huu ndoto yako itatimia. Sina masharti yoyote, kama umenielewa PM.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
why naachwa kila siku? et nishaurini
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hellow girlz!natafta rafiki wa kike awe anaishi dar.
0 Reactions
1 Replies
867 Views
Natafuta marafiki wa kike wakubadilishana nao mawazo hasa ya kimaisha na mengineyo umri mwisho miaka 25 nitafute 0763978461,0656051715
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari zenu jf! Natafuta mpenzi wa kike ambaye nawezaishi nae hapo baadae kama mme na mke. wasifu wangu: 1-Nina miaka 19 2-elimu ya kidato cha nne Kwa sasa,ila nasubiri selection niendelee na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Natafuta mchumba Vigezo 1:awe na umri 20--25 2:awe mkristo 3:mweupe 4;yupo mkoa wa dar 5:ana kazi anajitegemea 6:asiwe na mtoto au kuzaa. 7:asiwe mwemba sana wala mnene san Me nina...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mimi ni kijana umri 28, mkristo, mtumishi wa serikali,uref Ft 5.4, Natafuta mchumba au mke mwenye sifa zifuatazo 1. Awe mcha mungu 2.Mwenye upendo wa dhati kwangu na ndugu zangu pamoja na...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
usaliti umekuw kama fasheni sasa hvi
0 Reactions
1 Replies
747 Views
Jamani nadhani lengo langu halijafanikiwa, kila nkitafuta mchumba wanao kuja ni over 23. Sasa ntakuoa au utakula hela zangu tu, mimi niko na 21 bwana sitaki over mimi hapo. Asanteni 0687270030
0 Reactions
33 Replies
3K Views
habari wana jamvi. mm ni mvulana miaka 25. nina elimu ya chuo kikuu.natafuta mchumba wa kike ambaye tukiridhiana awe mke wangu hapo baadae. Sifa za mtu ninaye mhitaji. 1.awe angalau na elimu ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
mainly awe mkazi moro twn aliye tayar nicheki thruu esiwiti@gmail.com or
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za kazi waungwana naitwa Mahmoud Ismail kwa sasa nipo mjini Arusha lakini makazi yangu ni Shinyanga. Natafuta mchumba awe Muislam 18-22. Awe na kazi ,asiwe na kazi sawa tu, sababu mimi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za wkend wana jf,Niliyekuwa namtarajia bado yupo mkoani na kanibore sana na sihitaji tena kuwa nae,nikiipogia cm working days mara npo busy,mida ya jioni mara nmechoka,wk ends mara mara...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Waungwana ndani ya JF.. Umri unaenda nahitaji sasa kuoa cz ninakaribia maiaka 30.... Natafuta mke wa kuoa ila awe anafanya kazi "Access Bank" customer care service department!!!!! Kwa wale...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom