Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Ninahitaji mwenza wa maisha wa muda mwanamke kuanzia July 1st, 2014 hadi june 30th, 2015 Jukumu: Kuniliwaza Sifa: 1. Awe na afya njema umri kuanzia miaka 18 to 35. 2. Awe na elimu inayomsaidia...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
siku chache zilizopita niliona post ya mdada mmoja hivi anatafuta mchumba na kwakuwa na mie nipo single na ninatafuta mtu wa kuishi nae niliamua kuanza kumfuatilka kwa ku mp na kupeana no za...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Natafuta rafiki wa kike just for fun awe employed ! Pm for more info.
0 Reactions
4 Replies
983 Views
aise natafuta mrembo wa miaka 17-19 tuwe marafiki, baadae wachumba na kama vp tuwe 1 thing on next tym, nina miaka 19, kazi(kapuni), cpendi mchunaji, ukiniomba pesa nakuadd black list, nichek...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake... Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji...
27 Reactions
276 Replies
37K Views
Ni zaidi ya denda
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natumaini hamujambo mabibi na mabwana so nilikuwa natafuta rafiki wa kike mwenye age 21 anaejielewa maana wengi wao wamekuwa hawajielewi na kuwa na tamaa ya vitu fulani ila kama unae mpenzi wako...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Habarin wana jf, mm n mvulana mwenye sifa hzo hapo chin, ninahtaj mchumba popote pale tz kwn upweke umenishnda bandugu; Umri: 28...
0 Reactions
3 Replies
988 Views
Habari, Naitwa Erick ! naomba kama kuna mdada yoyote aliye tayari kuingia katika serious relation ani PM Maeleza yangu binafsi na Mengineyo tutaelezana Inbox kwa walio serious na kujitambua tu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina miaka 26 - sina kazi wala biashara +nahitaji binti mwenye miaka 18 hadi 24 awe mkristo, awe mpole, awe mrefu, asiwe mweusi aliye tayari ani pm
0 Reactions
2 Replies
885 Views
Ni kijana mwenye 26yrs naishi dar natafuta mchumba me
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naitwa tinoh, age 28 natafuta mwanamke ambaye atakae kuwa mke wangu, nina degree ila mwanamke ninaitaji ni mwenye elimu yoyote ile ilimradi awe na mapenzi ya kweli, just call or text me direct my...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mimi ni mdada wa miaka 23 natafuta mwanaume wa kunioa mwenye umri wa miaka kuanzia 4o~55 aliye tayari anipm xaxa ...
4 Reactions
54 Replies
9K Views
Mi ni kijana wa miaka 27 mrefu smart mwili wastan naish dar nahitaji mwanamke mtu mzima mwenye umri ucopungua miaka 55 nimechoshwa na vijana wenzangu nitafurahi zaid nikipata wa maisha ya hali ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yawezekana ukaokota embe dodo chini ya muarubaini. Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo Mwenye heshima: Sikuambii uwe kama Mama Theresa, lakini unatakiwa uwe na heshima kwa watu katika namna ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naitwa muddy,mjasiriamali,umri wangu 29,natafuta girl w kuoa n awe n sifa zifuatazo,upendo,mwaminifu,mtafutaji etc...pm me
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninasubiri kumpata mschana nitakaempenda na kumfikisha katika kilele cha furaha ya maisha yake.... Awe ni mschana mzuri mwenye kujiheshim na anaejitambua kimaisha...awe ni mpambanaji mzuri wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wanajf, Natafuta mchumba wa kike, Mimi ni kijana mfanyabiashara hivyo natafuta mchumba awe mfanyabiashara pia. Sifa zingine ni kama ifuatavyo 1.Umri usizidi miaka 26 2.Awe mzuri...
0 Reactions
2 Replies
844 Views
Waungwana kimsingi nini ngunga sio mchezo...kwa sababu nyoka hachagui tundu... naomba mwenye huruma aje PM
0 Reactions
2 Replies
845 Views
Back
Top Bottom