Jamani natafuta mchumba age interval 16-23!
Maana nimechoka sana huku mtaani wananiona mgumu eti sina hisia hawajui kua na act! Na mimi najua kupenda ila sipendi kuchepuka tena moyo wangu si wa...
Nianze kwa kutoa kisa cha kweli then niwashauri wanaotafuta wachumba.
Siku moja jeshi la Uingereza lilikuwa kazini baharini na wakaishiwa maji ya kunywa. Mkuu wa kikosi akapiga simu nchi kavu ili...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta mschana ambaye ni "wife material" ili nianzishe familia yangu. Sikupenda na hadi sasa bado nastruggle ili nifkishe miaka 30 nikiwa na mwenza. kifupi ni kuwa...
Habari za asubuhi ndugu zangu,ni muda mrefu nakuwa nkitumia huu mtandao but ombi langu bado halija fanikiwa,Ila mim n mwanaume wa 27 yrs,mrefu na mweusi wa maji ya kunde,elimu ya chuo kikuu...
Habari za saizi na poleni kwa majukumu ndugu zngu,ila nashukuru kwa walioni nshauri nakunikosoa jana kwa ombi langu la kupata mdada wakula nae raha jana,kwa bahati nzuri au mbaya ombi langu...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28,mkristo nasali romani catholic na nimeokoka,elimu yangu ni shahada ya uzamili yaani masters,nina kazi nzuri tu na ni mwajiliwa wa selikali, rangi ni maji...
Habari wanajf, mimi naishi Dar, umri wangu 24,
ninahitaji girlfriend alie serious katika uhusiano,dini yoyote,kabila lolote,kama upo mwenye vigezo piga 0714702720
Independent divorced mom wondering if there could be a second chance in life, if you are 35 and above, independent single dad believing there could be second chance in life and you are...
Ndio kama mwezi nimemalizia kujenga nyumba yangu ya vyumba viwili na sebule + choo na jiko self container mbezi kutokana na ubize wa kutafuta pesa hukuhuku nilkua mbali sana na mapenzi nikiwa na...
Wakuu hii ni mara ya mwisho kutangaza.Natafuta mchumba au girlfriend.SIFA ZANGU MIMI SAYANSIKIMU ni kama zifuatazo .KABILA mgogo DINI mkristo NYUMBANI dodoma UMRI miaka 23 .RANGI YA NGOZI mweusi...
Nina miaka 38 ni mfanyabiashara...natafuta mke awe umri usizidi miaka 38...mcheshi.
anayeweza kusimamia miradi au watu...awe anajuakujituma mbunifu
PM namba za simu zinaruhusiwa..
Habari wana Jf, Mimi ni kijana wa kiume, Nina miaka 28, naishi Dodoma! kabila langu ni msukuma, nina elimu ya chuo Kikuu na pia nimeajiriwa! Natafuta mpenzi/ mchumba mwenye sifa zifuatazo; umri 21...
Mimi ni kijana ninaeishi arusha na ni mwajiriwa wa serikalini, najitokeza kwa mara ya pili kutafuta mwanamke ambaye tutaanza maisha na kuwa kama mke na mume;
sifazangu
elim...............cho kikuu...
Mimi wasifu wangu ni kama ifuatavyo
-umri wangu miaka 34
-ni mwembamba, mweusi na mrefu wastani
-elimu yangu ni shahada ya kwanza
-nimejiajiri mwenyewe.
- mkristo naishi Dar
Natafuta mdada...
mi nipo hapahapa moro,ni handsome 24 years na i wish to have mtoto mmoja wa kike mzuri umri kuanzia miaka 18-24 wa hapa hapa tufahamiane tukipendana tuwe wapenzi,aliye seriouz ani pm tufahamiane...
Mie ni kijana wa miaka ishirini therathini sas, natafuta mwanamke mtu mzima tufanye maisha, ninaishi mwanza na nina elimu nzuri na pia kazi . yoyote mwenye sifa hizo tuwasiliane kupitia namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.