Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta rafiki wa kuke aliyejua nini maana ya maisha na tutaweza kuanza pamoja 0659389778 napatikana hapa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Asalam alaykum wana jf nimejitokeza jamvini kutafuta mwenza alieserious umri.kuanzia 20- 45 awe.muislamu kabila lolote vizur kama atakuwa anaishi zanzibar contact 0773584154 or alikhamis151@gmail.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Awe na umri18-22, Mwembamba mweusi , ambaye baadaye twaweza kuwa wachumbaail.com[/email]
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Kwa jina naitwa Kontelo, Nina miaka 27. Nimemaliza form 6 mwaka jana kwa bahati mbaya matokeo hayakuwa mazuri sikuweza kuendelea na chuo, bado nipo mtaani najishuulisha na kazi ndogo ndogo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni msichana wa miaka 27 nina mtoto natafuta mume nimechoka kuumizwa
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimemaliza chuo mwaka huu na nimeshapata kazi tayari. Naomba dada mwenye umri wa chini ya miaka 25 aliyetayari kuolewa na anajijuwa ni mzuri awasiliane nami kupitia chandesamwely@gmail.com
0 Reactions
5 Replies
976 Views
Habari wakuu, Mimi ni mwanaume, nina miaka 37, nina watoto wawili, niliwapata katika mizunguko ya maisha, ninaishi nao. Nilipanga kuwa na watoto wawili tu katika maisha yangu. Kwa sababu hii...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
niko serios nahitaji binti mweupe ,mrefu kiasi,mnene kiasi muajiriwa au amejiajiri kwa uhusiano wa kudumu,mimi ni mrefu kiasi , mwembamba kiasi,muajiriwa,maji ya kunde aliyetayari call me through...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yeyote alie tayari umri mpaka miaka 32 njoo tuwe marafiki.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sifa zangu:mwaminifu,mchamungu,mvumilivu na msikivu,msafi,mtafutaj pesa wa kufa na kupona.mcheshi,kujali na kubembeleza kwa namna ya kipekee.napenda kudekewa.. umri;26...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwa sasa mimi ni kijana nina miaka 22 na hitaji mchumba ambaye tutaishi kipindi cha uchumba kuanzia sasa mpaka mwaka 2018 upweke umezidi kwa kweli.Mwaka 2018 nahisi nitakuwa nimemaliza kusoma na...
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Naomba uwe rafiki yangu haijalishi umri,kabila,dini,jinsia wala mahali ulipo facebook= Babu wa ki digital wasap= 0763500480
0 Reactions
3 Replies
978 Views
Naitwa Idrissa wa lindi natafuta msichana mwenye age ya 18----> 22 awe mchumbaangu maongezi zaidi ni tafute 0655555508 au 0657949111
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Mimi naishi moshi na nahitaji misichana/mwanamke atakayekuwa rafiki yangu Sifa napendelea awe na Umri kuanzia miaka 30 kwani Umri wangu ni zaidi ya hapo awe anajishulisha (muajiriwa au...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za majukumu ndugu zangu,mim naitwa ELIFURAHA ni mwanaume wa miaka 27, Elimu ya shahada (degree) bado sijapata kazi, Mchaga,mrefu,mweusi maji ya kunde,mkristo safi(lutherani), Nipo Dar...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Je wewe ni msichana mrembo? Una umri wa miaka 24-30. Je wewe ni mcha mungu? Kama unajiamini tuwasiliane kwa wandwib@yahoo. Com. Nipo serious mimi ni mwalimu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za majukumu ndugu zangu wana jf,mim naitwa ELIFURAHA ni mwanaume mwenye elimu ya chuo (degree) bado natafuta ajira ya kudumu,ninaumri wa miaka 27 yrs nw,ni mrefu na mweusi wa maji ya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nahitaji mchumba kutoka Zanzibar
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Seriously lookin for a aged girl 20-28 yrs teacher, anaweza kuwa mwalimu wa primari au sekondari kikubwa awe na uelewa mkubwa na mwenye uwezo wa kukatua matatizo, pia awe mwenye uchungu na maisha...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 kabila langu ni mhaya.elimu chuo kikuu,ninafanya kazi na kuishi zanzibar ,Natafuta mwanamke aliyetayari kuwa mke mwenza,awe na sifa zifuatazo; 1.Awe...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom