Nategemea kutoka nje ya nchi, kama kuna mrembo yeyote aliefunga chuo anataka kula bata likizo ani PM. Awe na passport na mrembo, mweupe au maji ya kunde
Jamani mwenzenu upweke umenichosha, natafuta mwenza wa kuishi nae.
Ni mama wa watoto wawili, umri wangu miaka 36, elimu yangu ni shahada ya uzamili, muislamu na ni muajiriwa wa serikali...
Katika pitapita zangu zooote za miaka kadhaa nddani ya JF nilikuwa najiona mwenyeji kumbe kuna chocho sijawahi kuingia, sasa leo nilikuwa sina hili wala lile na sioni thread ya kuvutia nikaingia...
Naishi mwanza elimu yangu ni chuokikuu natafuta msichana mrembo na msafi awe na umri kati ya miaka 18-24 alieenda shule lakini pia awe ni mtoto wa kitajiri mkristo tuma ujumbe na picha via...
Habari,
Niko Sweden ; na ningependa kupata msichana mstaarabu, mwenye kujitambua na mwenye empathy na maisha, awe hapa Sweden ama karibu tu na Sweden as long as tukiridhiana nitashukuru na pia...
Kila siku naona matangazo ya kutafuta mchumba !
Je kuna waliowahi kufanikiwa kumpata atakaye??
Je waliwahi kuleta shuhuda humu na kuishukuru JF love connect!
Hebu fungukeni....
Independent divorced mom wondering if there could be a second chance in life, if you are 35 and above, independent single dad believing there could be second chance in life and you are...
Natafuta msichana mrembo awe mchumbana twende kwenye ndoa.
Sifa. Awe mrembo.
Rangi yeyote.
Asiwe mfupi sana.
Awe na elimu kuanzia form four mpaka chuo kikuu.
Awe mkristo kama ni Muislam...
Nina elimu ya chuo kikuu, natafuta mchumba atakayekuja badae kuwa mume..,
SIFA:
Napenda mwanaume atakayenipa furaha, faraja na upendo wa kweli; ni pm uone picha zangu.
Ila kwa kifupi mimi ni...
Kuhusu mimi
mm NI MVULANA nina miaka 26 nimemaliza chuo kikuu mwaka jana bado sijaajiriwa
nahitaji marafiki wa kike tu wa kuchati popote walipo tanzania.
Sifa za marafiki wa kike ninao...
Ka uko A Town tusomane natafuta kiukweli demu wa kusukuma naye siku ili maisha yaendelee sina option yoyote 4 now kuwa nitafanya nini baadaye but now ni kula gud tym tu :D:D:D:D:D
Nina umri wa miaka 28, mtumishi wa serikali katika wizara fulani hapa Dar, urefu wangu 175-180cm, unene 75kg. elimu yangu degree holder, sura yangu maji ya kunde. Napendelea kuwatch football na...
kuhusu mm
UMRI;25
DINI;muislamu
ELIMU;chuo kikuu
MAKAZI; zanzibar
NATAFUTA M/ke mwenye sifa zufuatazo;
umri;18-22
DINI;muislamu
ELIMU; darasa la 7 na kuendelea(elimu ya dini muhimu zaidi)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.