Nimechoka na maisha ya upweke natafuta mpenzi kisha tukielewana tuwe mke na mume.
nina miaka 28 naishi Dar maeneo ya mbezi beach . kwa aliye serious naomba tuwasiliane namba 0718810898
Jamani nipo serious, siyo mzaha!
Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume kwa maana ya kujali na kutunza familia na mwenye mapenzi ya kweli.
Sifa: umri 30-35, elimu atleast six na kuendelea...
Nikijana wa kiume,
Nina miaka 28,
Mwajiriwa serikalini sasa nahitaji kuoa.
Mschana mwenye miaka 21-26 karibu tuwasiliane,
Ni PM kama uko tayari.
Walio morogoro mjini au mikoa ya...
Mie nina miaka 33 ninahitaji mdada wa kuoa ,
Hasizidi miaka 30
Elimu angalau awe amefika kidato cha nne,
Mambo mengine tutafahamishana ukini pm ,
Mdada mwenye utulivu niwakati wa...
I wanna grow old with you
I wanna die lying in your arms
I wanna grow old with you
I wanna be looking in your eyes
I wanna be there for you
Sharing everything you do
I wanna grow old...
Kuna mkaka mmoja amekuwa na desturi ya kuwavizia dada zake na kila mmoja kwanyakati yake akiwaambia "unajua minakupendaga sana kila siku nashindwa kukwambia leo nimeona nikwambie"sasa mbaya zaidi...
Wadau mtakumbuka siku chache zilizopita nilileta hapa ombi langu la kutafuta mchumba wa kike aliye-tayari na aliye serious, sasa nasikitika kuwa hadi sasa sijampata ila kufuatia tangazo lile hiki...
Natamani kuwa na mrembo wa kishare naye shida na raha. Awe tayari kupima HIV, awe na kazi yake maana kibarua changu kamshahara kadogo sana japo si kama nataka anilee bali asitarajie makubwa toka...
YES!
Kwa msichana anaye hitaji mapenzi ya dhati,upendo wa kweli,na mwenye ndoto za kuwa na mwanaume bora na mwenye huruma,hekima,mcheshi,mkweli,mkalimu,masikini,na mwenye ndoto za kuolewa.basi...
Naitwa anthony wambura mzaliwa wa wilaya ya tarime,mara ninategemea kumaliza kidato cha sita mwezi wa tano mwaka huu kiukweli nimetokea kupenda jeshi toka nikiwa mtoto mdogo baada ya kumaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.