Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta girlfriend ambaye atakuwa mke wangu mtarajiwa, kiufupi awe na size yoyote ila asiwe mfupi sana wala mnene sana, rangi yoyote, sichagui dini wala kabila, umri kuanzia 18-23. Ikiwa...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Habari wana jf Mimi kijana wa miaka 27 naishi dsm na nimeajiriwa na kampuni moja ya ujenzi. Natafuta mwanamke wa kuoa kwa sasa umri wake usiwe chini ya miaka 20,haijalishi km ameajiriwa au la as...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
:A S 100:Naitwa ........... ninamiaka 27, ni-naelimu ya stashada(Ordinary diploma) ktk field ya engineering. natafuta msichana/mwanamke sitamkagua vyeti kujua ana elimu kiasi gani bt uelewa...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Mi ni mvulana wa 26yrs,urefu futi 5.5,ni Muslim, Elimu Bachelor,nimfanya kazi na naishi Dsm, Natafuta mke half caste mweny elimu ya kidato cha 4 au 6, Urefu atleast futi 5.4 - 5.6, awe...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Natafuta msichana wa kuwa mchumba wangu then tukifikia muafaka nitamuoa Umri 18-25 Mrefu Black beauty Elimu angalau form four Tabia nzuri Contacts me soon
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wadau wa jukwaa hili pendwa, napenda kutumia fursa hii kwanza kuwajulisha kuwa mi ni mgeni au unaweza sema kuwa ni mpya katika jukwaa hili Jamani kama kichwa cha habari hapo juu, natafuta...
0 Reactions
108 Replies
8K Views
Naitwa Sam, age yangu ni 26, nahitaji marafiki aliye tayari ani-text kupitia 0784824269
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji marafiki wa kike ambao ni single wenye muono wa kimaisha,no matter mwanfunzi wa chuo,biashara au mfanya kazi ila wawe watumiajia wa whatsapp...pm me.
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Natafuta msichana mrembo aliye tayari kuingia kwenye maisha ya ndoa hivi karibuni..ni pm
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 35, Nimejiajiri, na nayamudu maisha yangu. Kipato changu ni cha wastani na nashukuru maisha yangu si mabaya. Natafuta mwanamke mwenye umri huo, mwenye moyo mpweke...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mi ni kijana mtanashati umri wangu ni miaka 26 natafuta mchumba wa kuoa umri mwisho miaka 25 kushuka chini sifa kuu heshima,upendo,huruma na uvumilivu pamoja na umbo namba 8 mwenye sifa hzo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Vivian wa Arusha Mianzini where a u know?? I still you missing best.----is me Mustafa!!
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Je wewe ni mdada mkristo, uliye tayari kupima UKIMWI, hata kama una mtoto asizid mmoja, umbo MNENE KIASI na unaishi Dar es Salaam. Kama ndivyo basi ni-PM nikuunganishe na kaka wa miaka 35...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mm ni mvulana wa miaka 24,naitaji girfriend ambaye cku za uson awe wife.Maelezo zaid 2kutane on 0767_877 421 au 0659_443 320. Kaz kwenu wadada cfa-: _maj ya kunde au wait co mbaya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadada wa humu mbona mna masharti sana yani mna masharti bwena katika wooote sijawahi ona hata mmoja anayetutaka sisi khaaaa....
1 Reactions
9 Replies
908 Views
Hi, Natafuta mchumba
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Nahitaji mume mwenye mapenzi ya kweli Mimi nimeajiriwa, SIFA Miaka 35-40, Awe muislam mwenye maadili ya dini, Amejiriwa au mwenye shughuli ya kueleweka, Aliyekuwa serious ani PM
2 Reactions
20 Replies
4K Views
mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 25 natafuta mchumba wa kuoa. SIFA 1.awe mkristo. 2.awe na umri usiozidi miaka 23. 3.awe tayali kupima vvu. 4.awe tayali kuvumilia kwa muda wa mwaka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni msichana natafuta mchumba aliye na uhakika wa kunioa, sipendi uongo awe mpole mwelevu, mkristo na anipende kwa dhat, ninamiaka 23, mwenye hakika na hili anitafute0786730005
3 Reactions
115 Replies
24K Views
Habari kaka,natumai mwenye sifa tajwa hapo juu ndo unayesoma hapa' mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 30,nipo serious na natafuta mwanaume mwenye sifa hizo kwa kuwa mwenyewe nina sifa za...
12 Reactions
175 Replies
44K Views
Back
Top Bottom