Mdada ambaye anaamini katika hizi falsafa:-
1: she can start from zero to hero (economically)
2: she can start from where she is. (in any life aspects)
3: She can learn from every action (...
Hey there!
Huu uzi nimeweka hapa kwa lengo la kumpata binti mrembo atakae kuwa ananifanyia "massage"...strictly massage and nothing more.
Kama wewe ni binti na una uzoefu wa kumkanda kanda...
Habari wana Jf,mimi ni msichana wa miaka 26,Nimeajiriwa nipo Arusha.Natafuta mume kuanzia miaka 29-32,awe na kazi au biashara ya kueleweka ,awe mrefu,awe mkristo.Aliye tayari nipigie kwa no...
MIMI NAITWA MARK SIBUGA NIPO MBEYA.NATAFTA MKEWA KUOA AMBAYE ATAKUWA NA VIGEZO HIVI
MCHA MUNGU
DIGRI MOJA NA KUENDELEA
MWEUPE/MAJI YAKUNDE
ANAFANYA KAZI,BIASHARA NA KUAJIRIWA KTK SERIKALI...
Ndugu wadada natafuta mke wa kuoa kupiia katika mtandao huu aliye tayari tuwasiliane! NB. msinishambulie kwa llugha chafu hayo ni mawazo yangu usipopendezwa tafadhari endelea na kazi yako.
Natafuta mke wa kuoa mwenye tabia nzuri. Huyo mke awe na rangi yake ya Asili sio ya kutumia cream. Sichagui rangi,awe na elimu angalau ya form four. Umri wake uwe kati ya 20 - 30. Awe mpenda watu...
Wana JF,hongereni kwa michakato ya hapa na pale.
Kutokana na hali halisi ya maisha,changamoto za ndoa,uwiano wa idadi uliopo kati ya wanaume na wanawake, imenibid nibadili namna ya kupata mke...
hi jf members!
Mimi ni kijana wa miaka 32,
Mwajiriwa mwenye shahada ya pili ya uchumi,
Mstaarabu,mtanashati,sinywi,sivuti,mrefu kiasi,najua nini maana ya kumpenda,kumtunza ,na kumjali...
Kuna jamaa angu amekuja na kulalamika kwangu nimshauri nkaona nivyema nililete hapa kwa wataalam wa hizi mambo.
Jamaa ana dem wake na wako kwa mahusiano takribani miaka 8, jamaa kashalipa mahari...
Hello, Mimi ni kijana wa kiume, nahitaji binti wa kuanzisha urafiki nae katia ya miaka 25-28, nipo Arusha kwa sasa. If anyone is interested unaweza ni-PM. Karibu.
Wadau wa jf:
Nami najitokeza kwa nia na dhamira moja ya kutafuta mchumba wa kike atakayekuwa mke wangu baada ya kuridhiana.
Mimi ni mfanyakazi nipo mojawapo ya mikoa ya kanda ya ziwa, elimu...
umr kuanzia 18~25,mcha mungu, mwembamba wa wastan na mweus wa wastan pia,thamin pendo Na Kujal,mrefu wa wastan. kama ni dada ambae upo serious npm contact zitafuata kwa mawasiliano ya kina zaidi
Natafuta Mpenzi Wa Kike Ila Sii Wa Kuoa Ntakaekua Nae Kimapenzi Tu Ndoa Hakuna Umri Wake Uwe Kati Ya 20-24. Sibagui Dini Wala Kabila Hapa Tusije Kudanganyana {0757311889} sms only
Natafuta Mpenzi Wa Kike Ila Sii Wa Kuoa Ntakaekua Nae Kimapenzi Tu Ndoa Hakuna Umri Wake Uwe Kati Ya 20-24. Sibagui Dini Wala Kabila Hapa Tusije Kudanganyana
Mimi ni kijana age yangu ni 28,nahitaji msichana ambaye yuko tayari kuanzisha mahusiano na mimi sifa zangu ni kama zifuatazo.
niko chuo mwaka wa mwisho,natarajia kumaliza mwaka huu.
ni...
Mimi ni mwanaume, umri wangu ni miaka 27, elimu yangu ni degree ya awali! natafuta rafiki wa kike popote pale, awe na elimu kuanzia kidato cha sita, awe mrefu! mimi ni mrefu 182cm high. mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.