Haya sasa nimeamua, ila usilete mashauzi, wala presha sina yaani natafuta mlimbwende anayejielewa na wala si malaika maana najua fika hakuna aliyemkamilifu ila natafuta mwenye hadhi ya kumvumilia...
Nina umri wa miaka 28,mzaliwa wa Kilimanjaro ni mrembo tuu na mfufu kiasi rangi chocolate natafuta mwenza kabila lolote ila si mchaga,Mweupe wa rangi awe msafi na ajue kuvaa,awe ana kazi na...
Kwa hali ilivyo sasa, JF naona ukumbi wa MMU na Love Connect ni sehemu ya kupata michepuko. Hii ni digital technology ya kufanya uzinzi. Kwa kuwa kuna dada zetu bado wanafanya hiyo biashara...
This is very serious, I'm looking for a girl friend aged 20-23, HIV (-) who respect herself, good looking, a bit tall, living in Dar.
I,m 25 yrs, 6ft tall, deep voice, HIV (-) ,a bit white.
so...
Wapendwa nahisi kilichobaki nikuiigiza movie za mapenzi nakucheza pati ya kuumizwa maana kila mdada ninaempenda ama kutokea kumpenda kwa dhati ni lazima aniumize, sasa nimekuwa rejendali wa...
Habari za asubuhi wana Mmu mimi nikijana mwenye umri wa miaka 23 nafanya kazi yangu binafsi ambayo inanipa kipato maisha yangu yanaenda.
Nimwez mmoja sasa umepita tangu nilipofahamiana na...
Natafuta mke wa kuoa,awe serious ktk mahusiano.Awe na sifa zifuatazo.Mrefu,mrembo,mkarimu na staha.kabila lolote na umri usizidi 26. Uko tayari uni-pm au nicheki 0787861295
Serious,
Mimi ni mwanaume (mvulana) wa miaka 26,,Jina langu ni hili nalolitumia humu JF.
Ni mhitimu wa college kwa sasa nafanya shughuli za ufundi na biashara,nina mtoto mmoja wa kiume ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.