Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Jamani bandugu mi natafuta mpenzi wa kuanzanae maisha yaani kufunga nae pingu za maisha awe mke wangu.awe natabia nzuri pia awe mwalimu wa shule ya msingi! Ambae yuko tayari tuwasiliane!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wasifu wangu Age:26 Elimu:degree Kazi:teacher Mwonekano:angalia avatar yangu Wasifu wa ninaemtaka Age: 20 na kuendelea Elimu:diploma au zaidi Kazi:yoyote Imani:mkristo Mwonekano:awe mzuri wa...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Mimi ni mfanyakazi na nimeajiriwa na serikali elimu yangu ni ya chuo kikuu nina shahada moja ni mkristo najitokeza kwenu nyie akinadada ambao ni walimu nesi na hata polisi km uko tayari kuanza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
mimi ni msichana, nimeajiriwa, natafuta mwenza awe muislam, miaka 36-45 anayeishi tanga
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Karibuni wa ukweli.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hello, İ just moved here and was looking for some fun and adventures. İ am looking for a girl company that would make my stay comfortable/fun. Coincident,İ am single too and so...
0 Reactions
0 Replies
742 Views
mimi ni kijana (mwanaume) mwenye umri wa miaka 27, ni graduate, bado sijabahatika kupata ajira... natafuta rafiki wa kike popote pale ambaye ikiwezekana tuje tukaanze naye maisha kwa baadaye...
1 Reactions
0 Replies
894 Views
am a boy nahtaj dem mweus au maj ya kunde, wa kutoka naye out nitamtunza kama anavyotaka yey, 0758390103
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari girls? natafuta mwamke awe mpenzi wangu kwa sharti la kunivumilia maana mimi nimepitia katika mapenzi ya jinsia moja so nataka mwanamke atakeweza kunifanya nikasimamisha vizuri tunapokuwa...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Natafuta mwanamke wa kufurahishana tu sio kuolewa .Kama upo nipm
0 Reactions
16 Replies
2K Views
kwa binti anayehitaji kuolewa mwaka huu ni pm, sina masharti mengi ila tu umri asizidi 27yrs na at least form 6, nawakilisha
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salam, Natafuta binti wa kunipenda katika msimu huu wa wapendanao, VIGEZO, Umri miaka 18 hadi 24, mweusi, asiwe mnene , mrefu, mtanzania, anayejieshimu. Aliye tayari ani PM
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hii Girl, Naitwa Erick nina umri wa miaka 28, single boy! nafanya kazi napenda kuwa na Friends wa kike kwa ajili ya kampani, kama ku chat outing na kubadilishana mawazo ya kimaisha na maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
mm ni mwanamke, nina miaka 35, nimeajiriwa, sifa awe na miaka 36-45, anayeishi Tanga, muislamu anayeijua dini, awe na mapenzi ya kweli aliyetayari tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ningependa kupata mwanamke aliye tayari kuishi na mimi kama mke , ambaye anaweza kumiliki miradi hata kama sipo kwa uaminifu mkubwa . kwa kuwa na mimi ni baba wa watoto 2 wakubwa , ningependa...
4 Reactions
60 Replies
7K Views
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 23; -Maji ya kunde -Urefu sm 159 -Uzito kg 59 -Si mnene si mwembamba -Msukuma wa shinyanga Hapo juu ni baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume nipo dar naimani jm wapo wastarabu ombi langu litapokelewa kwa upendo hakuna kugezo ajue mapenzi ani Pm
0 Reactions
8 Replies
3K Views
1.awe white au maji ya kunde. 2.awe ana akili timamu. 3.awe ana umri 18-21. 4.elimu yeyote isipokuwa degree or masters au Phd My contact. Mwallongog@gmail.com. Sitani it is true
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mim mwanaume wa kitanzania umri 25yrs nimeajirwa serekalin mkristu. MY FEATURES: whitecolour,long nose,shapen eyes,middle height and 72kg Weight nahtaji msichana baadae aje kuwa mke wangu.Sina...
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Natafuta muoaji nipo serious
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Back
Top Bottom