Wadau bado natafuta mke kupitia jukwaa hili,
Mimi nipo mwanza na nafanya kazi.
Nahitaji na yeye awe anafanya kazi, akiwa mwalimu ni nzuri zaidi, awe mpenda maendeleo, mtaratibu na mwenye mvuto...
Wasalaam,
kwa yule mwenye uhitaji wa wa patner..
vigezo..
Umri kati ya 32-40
dini mkristo
kiwango cha elimu kuanzia certificate.
sibagui rangi wala kabila..
NB...awe katika hali...
Wadau,
Nimeona nami nijitokeze kutafuta mke katika jukwaa hili.
mimi nafanya kazi na nina elimu ya chuo kikuu.
nahitaji mke mwema, awe mkristo, mtaratibu na mwenye mawazo ya maendeleo, awe...
Mimi ni kijana nina mtafuta mwanamke miaka 25-65 mwenye kujua thamani ya mapenzi kigezi cha miaka ni muhumu hata kama anawatoto ni vzuri kwani hata mm ninafamilia
Wana MMU jukwaa la Love connect nawasalimu wote kwa mpigo.
Hii ni kwa niaba ya rafiki yangu wa karibu.
Ana miaka 45 na watoto wawili, very independent woman, yuko safi, kazi nzuri maisha sio ya...
Wadau kama unahitaji mwenza wa maisha awe mwanamke au mwanaume tafadhali ni-PM na nitakuunganisha bure kabisa kwa sasa nilionao kwenye list ni wadada wanatamani kupata wenza wenye umri kuanzia...
Nahitaji mume kuanzia 40 na kuendelea, mimi ni single mother nina mtoto mmoja naishi dsm mwenye kunipm tutawasiliana zaidi. Alie serious anipm mkristo kipaumbele zaidi na mcha mungu awe na kazi...
Niliomba mchumba humu,nikatoa sifa zangu,kuwa ni mwalimu private school,nahitaj mchumba mwaminifu,aliye na kazi yoyote toka arusha tukifahamiana twende kwa wazazi na tufunge ndoa,aliye tayari na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.