Ukijitoa kumpenda mtu na kumpa kila kitu, halafu huyo mtu akashndwa kujua jinsi gani anapendwa na wewe akakuumiza, hupaswi kujilaumu.
Anapaswa yye kujilaumu kwa kukosa kusoma alama za nyakati...
Mimi binti mwenye umri wa miaka 24, elimu yangu ni ya shahada, dini muislam pia ni muajiriwa. Natafta mume mwenye vigezo vifuatavyo: awe muislam mwenye elimu ya dini na dunia, awe na shughuli ya...
Am 30 old. I loved to persue my dreams in formal education untill recently nilipokosa cash to pay for studies. Nipo kitaa nasaka noti japo sometimes nasota bure, lakini ninamalengo thabiti. Now am...
Habari za leo wana Jf! Poleni na Mihangaiko ya kila siku.
Mimi ni kijana wa kiume, umri wangu ni miaka 26 mrefu futi 5:6 Naishi dsm, Shida yangu ni kwamba natamani sana na mimi kupata...
Habari zenu wanajamvi,
Nina rafiki yangu ambaye nimesoma nae chuo kimoja na kozi moja jijini Arusha.Huyu rafiki yangu alikua na girlfriend wake mzaliwa wa Arusha ambaye amedumu nae kwenye...
Natafuta rafiki mme aumke wa kuchat nae mdawowote.kuchangia mawazo,kujadiri mada mbalimbali zihusuzo maisha. karibuni sana marafiki zangu. ukalimu kwetu ni asiri yetu. idumu africa idumu tanzania...
Kazi imekuwa ya kuchosha nahitaji kupumzisha akili so natumaini ladies tu ndo watacoment, na kama kweli upo serious ncheki tumeet twendzetu, mimi young tu 26 miaka tall white and smart hivi, yeah...
Mimi ni mwanaume wa miaka 29 niliachana na mwanamke niliyedumu nae kwa miaka 3 iliniuma sana baada ya kunisaliti nimekuwa mpweke sana lakin inatosha nahitaji bint mbichi wa kunipa mapenzi matamu...
Mm ni kijana mwenye miaka 26 naishi mby ninahitaji msichana wa kuwa mchumba wangu and then tuoane
sifa zangu
umri 26yrs
mrefu wa wastani
nimeokoka
mpenda maendelo/kijituma
sifa...
Ni kwamba toka nakua mpaka nimekuwa mtu mzima katika mchezo wa ujana nimekutana na wanawake wengi,na napenda pia niseme kabila langu si mpare wala mchaga ila ki ukweli tanzania hii kwa wanawake...
Salama wakuu. Natafuta binti kuanzia age 21-28 for serious relationship. Kama una kigezo hicho, please just pm me.
Please, its a serious matter.
Bravo!!!
wan JF mwenzenu mke wangu ktandani ni sifuri, yaan hanipi mautamu nikatosatsify ni mchovu daily. Nimevumilia nimechoka natafuta demu wa hiari na anayejua kungonoka nifurahie maisha ya mapenzi awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.