Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Kijana mtanashati na niko vizuri kunako bed, my age 27,natafuta mwanamke wa kuoa age between 32-40. Mimi nipo Dar,Warembo karibuni.
1 Reactions
34 Replies
5K Views
I'm easy going. I love laugh and enjoy life. I'm not perfect but I have a great personality. I'm looking same person. . someone as a friend probably a best friend to talk to n share stuff and...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
awe ni mwanamme mwenye kazi,asiwe mlevi na awe mcha mungu
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Mainly awe wakike, na awe mkazi Moro mjini au Mbeya the one who is already anipm au tembelea [email]esiwiti@gmail.com[/email
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 26 nipo Dar es Salaam natafuta mchumba ambae baadae aje kuwa mke wangu umri usiozid miaka 26. Awe anajitambua, awe tayari kuishi na mume, awe mzur wa sura na umbo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
0765832393 / 0689606070 / 0719858445
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Wadau! Baada ya kuzinguliwa ukweni kwamba nimechelewa kupeleka posa, nimeamua kutafuta mwanamke mwingine, Mimi ni mwanaume, mfanyakazi, nina umri wa miaka 28, elimu yangu ni degree, Natafuta...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Imefika kipindi muhafaka katika maisha yangu kuwa na mtu ambaye tutaanzisha familia hapo baadae sina maneno mengi kwa msichana aliye tayari naomba tuwasiliane. Na ingekuwa vizuri angekuwa...
0 Reactions
2 Replies
977 Views
Nimeamua kufunguka na kuweka hii adharani jamani! natanfuta mpenz mwenye upendo wa dhati, na aliyetulia na mwajibikaji na mwenye kumpenda mungu na kumwofu!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume umri 28,kama kuna mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 30 na kuendelea na hana mume basi ni PM.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana MMU? Nina umri wa miaka 25, nina urefu wa futi 6, rangi maji ya kunde, dini yangu mkristo. Ninayemuhitaji, awe MWANAMKE mwenye kimo kama au kinachokaribiana na changu (yaani...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wapendwa! Mimi ni msichana ambae niko single, natafuta mwenza ambae yuko siriaz, najua wengine watanidhihaki, wengine watasema mtandaoni si mahala pake ila mimi nina amini mapenzi popote...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mjasilia mali,mnyamwezi mama mpale:yeye awe anashepu nzuri,maziwa yaliyo simama,dini yoyote,form 4 na kuendelea,ni PM. Mimi Ni mrefu,maji ya kunde,si mnene,form six.
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari zenu wadau. Mi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 30 Nimejiajiri. Natafuta msichana wa kumuoa awe ma umri wa kuanzia miaka 23 hadi 30 ukiwa tayari ni PM.
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha ujumbe hapo juu mimi ni kijana wa kiume naomba mpenzi aliye hapa dar ani PM tuelekee beach tukapate upepo natanguliza Asante
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Jamani natafuta rafiki wa kike lakini awe mwalimu shule msingi au sec ambaye baadaye tuweze kuishi pamoja as a family...sifa: awe mkristo, umri kati ya 18 -23, kabila yeyote,mrefu kidogo asiye...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani mm nikijana nina umri wa miaka 28,nimechoka ishi pekeyangu,naombeni kuuliza je!pande hizi nisahii naweza pata mke
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Marafiki toka Dar wakushea mawazo yakimaisha 0763978461
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji mama mstarabu wa kuniridhisha na kunitoa upweke maana hali si nzuri. Awe anaishi dar. Aliyetayari anipm namba yake nimtafute.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30. Natafuta mchumba muislamu mwenye kujitambua umri usizidi 27 na usipungue 20. Akiwa mwalimu ni vizuri zaid. Kabila lolote. Ulie tayari ni pm.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom