Habar zenu wana bodi! Nimekuwa niko sirias kias kwamba watu wa karibu yangu wananiogopa ua kukaa mbali na mimi, Marafiki nilioko nao wananionyesha dharau ikiwa ni pamoja na ubinafsi! Kitu...
Mimi ni kijana wa KITANZANIA MIAKA 34,NIMEJIAJIRI ,mrefu na mweusi tii!unene wa wastani,mchumba nimtakae angalau awe n sifa zifuatazo:Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea pia umri wake uwe...
Mimi ni mgeni Dar kutoka enchiladas jirani.Nafanya kazi hapa(expatriate).
Natafuta rafiki wa karibu wa kike. Mrembo na wa tabia nzuri.
Awe anaishi Dar,.Miaka 25-40.
PM mimi tuongee mengi.
Asante.
Naitwa Prosper Lucas nina miaka 22,naishi tandahimba mtwara tanzania,elimu yangu kidato cha 4,natafuta mwanamke ambaye baadae atakuwa mke wangu,asiyebabaika na shetani pesa,awe mwenye kutaka...
Nina nafasi mbili za complimentary za kupanda mlima meru wiki ya pili ya mwezi wa nne (100% free)
Napenda kama kuna msichana adventure ambaye anapenda kupanda/ kujaribu anijulishe tujumuike...
natafuta rafiki wa kike(for long term friendship) mweye sifa hizi;awe mkristo(thehebu lolote) elim kuanzia fom four, awe mrefu, mweusi au maji ya kunde,mwenye malengo ya maendeleo,katu asiwe cha...
Habari,
Mie nimfanya biashara za kawaida.
Kabila Mmanyema mwenye asili ya Kigoma
Nipo Zanzibar kwa miaka kama 12.mwanzo niliajiriwa kisha nikajiajiri mwenyewe.
Nia watoto wawili wote wapo Dar...
Natafuta binti ambaye baadaye anaweza kuwa mke, preferably ambaye yuko USA ningependelea sana awe anatoka karibu na Atlanta sababu hayo ndio maeneo yangu but popote pale USA unakaribishwa
Heshima mbele wanajamvi,
Wakuu natafuta mama wa umri wa 45-50 mimi nina umri wa 30-35.
Awe na mkwanja wa kutosha yaani mupunga (Hela). Ni kijana mwenye nguvu za kutosha katika mambo yetu...
kuna rafiki yangu ni vvu+ anaitaji mchumba yupo dar nimwajiri mchumba awe na shughuli yoyote awe na watoto wasizidi 3 au asiwe na mtoto ni sawa umri miaka 30 mpaka 45 tafadhari pm upewe namba yake...
nimekaa ndaniya huu mji wa mabomu wiki ya pili sasa naona nakaribia kupata depression kwani niko mpweke. kwa wadada waliopo Arusha anayehitaji mtu wa kupeana kampani tuwasiliane kwa PM! Mimi ni...
Mimi ni dada nina miaka 31, mkristo, ni mrefu, nina elimu ya chuo. Nahitaji mwanaume mwenye uhitaji wa mahusiano yaliyo serious ambayo Mungu akipenda yaishie kwenye ndoa. Huyo mwanaume napenda awe...
Aslm. alykum nataraji mutakuwa wazima wana jf natafuta mwenzangu awe mwanamke kuanzia miaka 20 kuendelea awe Muslim na anaeishi zanzibar vigezo na cfa nyengine ni baada ya kujuana my contact now...
Hallow to All
Hey guys am back again looking for honest and Good looking husband for my future life. am 37yrs old with two children. pliz if you are below 35 do'nt comment. nina kazi yangu pia...
Habari wana jukwaaaa
Mimi ni mtanzania mwenzenu nahitaji kwanamke wa kuustiri moyo wangu na kiwiliwili kwa ajili ya ndoa na sio ngono
Mwanamke awe ni miaka 30+
Awe ameolewa na kuachika
Awe na...