Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
aliyetayari ani pm. kwa mawasiliano na maelewano zaidi. gud day beautiful.
0 Reactions
5 Replies
952 Views
umri wangu ni miaka 24 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat umri kuanzia miaka 25-28.anayejijua ana mapenzi ya dhat anipm!
6 Reactions
86 Replies
13K Views
friends wanaopenda kuchat inbox me your numbers
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Umri wa mimi: 32 Elim : Advace Urefu : 5.9 ft Uzito : 72 kg Rangi : Chocolate Natafuta mchumba atakae nifaa kuwa mke, awe mkweli na mwenye...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimetokea kumpenda member wa hapa JF anaitwa The Finest ila tatizo ni kwamba simjui sielewi labda inawezekana akawa ni mume wa mtu vile vile ila kiukweli i have feelings for him ila sijui nianzeje
0 Reactions
153 Replies
10K Views
Wanajamii leo nimeamua kujitokeza kutangaza nia, nahitaji mume, mimi ni bint nina miaka 28 mnene kidogo 90kg,urefu 165m kitanzania tunasema ninaumbo namba nane na nina mtoto mmoja, nimetokea...
0 Reactions
115 Replies
11K Views
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na elimu yangu ni Shahada,katika chuo kikuu Udsm,sasa nimeajiliwa na serikali,katika hospitali ya taifa Muhimbili,mim ni doctor wa mifupa.Nimepata msichana...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nahitaji mpenzi ambaye atakuja kuwa mchumba and then mke,umri 20-25 dini mkristo,kabila pare from same,elimu at least form 4 + course,muwazi,anayejisimamia mwenyewe contact me through PM
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Jina langu: irene Jinsia yangu: mwanamke Umri wangu: 32 - 35 Elimu yangu: chuo Natafuta: rafiki mvulana kwa ajili ya long term relatioship mpaka ndoa Miaka yake: 33 - 38 Nchi atokayo...
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Kwanza nina zaidi ya miaka 30,nahitaji mke ambae nitamheshimu nae ataniheshimu,kwa kifupi tutaheshimiana Kazi yangu ni mjasiria mali mdogo sana,yani ndo natafuta hela,kama wewe ni binti,mwanamke...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
natafuta mschana awe wa maisha yangu but awe tayari kupima ukimwi but cna gar wala nyumba atakae kuwa tayar ani PM..
0 Reactions
10 Replies
1K Views
girl wth that age find me at wappolinary@yahoo.com and i promise fact respond iam a boy if not more than 25 live in dar kinondoni am here for friend especial girl
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama wewe ni binti na unadhani unakidhi vigizo hivi hapa basi ni PM....(PM=private massage) 1. Mcha Mungu 2. Walau uwe na elimu ya diploma 3. Msafi na smart girl wa mwili wako pamo ja na mavazi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
kwanza nina miaka 25 im black si mfupi wala mrefu,mkristo nina elimu ya chuo kikuu naitaji msichana ambaye yupo tayari kuwa na mimi muhimu awe na tabia njema na muwazi.... Pm me
0 Reactions
3 Replies
810 Views
mwenzenu natafuta mwanaume wa kufunga naye pingu za maisha umri usiochini ya miaka45. niko seriously
1 Reactions
7 Replies
2K Views
kama kuna mdada mwenye upendo wa dhati ila kaumizwa na gumegume ondoa shaka naweza kukupa true love mpaka ndoa endapo tutakubaliana call me 0768964697 usibip,sms zitajibiwa
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanajamvi salam kwenu! Nina umri wa miaka 30. Ninaelimu ya chuo kikuu pia ni mwajiriwa serikalini, najitokeza ktk ukumbi huu kutangaza nia ya kutafuta mke na awe na sifa zifuatazo: Awe na elimu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana jf,natafuta mpenzi mpenzi alie serious aje kua mama wa watoto wangu,elimu kuanzia form four na kuendelea.Alie serious na tayari naomba ani PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mvulana wa miaka 25 najitokeza kwenu wakuu natafuta mke wakuoa. Mimi nimejiari ni mjasiriamal mdogo naishi morogoro. Dini yangu ni mkristo mkatoliki. Mke nimhitajie awe anetokea...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jaman wana jamvi (wakike tu),nahitaji msichana wa kumwoa kweli nipo serious, Mim n mrefu wa wastan,maji ya kunde,mfanyakazi na nina umri wa miaka 27,Msichana awe na sifa hizi: -Umri 18-23 yrz...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…