Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
maelezo zaidi kuhusu mm ni pm utayapata. vigezo umri kuanzia miaka 30 na kuendelea mimi nina miaka 29 na ni mama wa mtoto mmoja.
3 Reactions
31 Replies
7K Views
vipi hali wana JF,niko Nairobi kenya na ningependa ku Skype na any single mature ladies from Tz, awe dem anajiheshimu sio wale wenye mambo ya kijinga kwenye internet, my Skype Id is mwishokileo
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Peopleeeeeeeeessssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kumekuwa na mpambano wa chini kwa chini kila mtu kutaka kujiposition kwa Prisoner 46664 wazi wazi na kisirisiri!!!! Sasa Kujihakikishia ushindi...
1 Reactions
159 Replies
8K Views
Sio utani.....kama upo serious karibu
0 Reactions
56 Replies
4K Views
hi
wadau,magwiji na wanazuoni wa pande mbalimbali,mdau nmeamua kuingia ndani bcoz kwa muda mrefu nmekua sio memember ni msomaji tu. god be with u all!
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari JF, mimi ninaitwa Colins ni mvulana umri wa miaka 27,nimehitimu degree ya kwanza pale Chuo cha Usimamizi wa Fedha mwaka jana na kwa sasa niko na kampuni yetu ndogo ya kuwasaidia wakina mama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu, Kwa mara nyingine najitokeza mbele yenu kuwafahamisha kuwa natafuta msichana mtulivu(anaehitaji kutulia kimapenzi) mwenye wasifu ufuatao; awe na umri wa kuanzia miaka 22-26, awe na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mi ni mwanaume miaka 34, mweusi, urefu 5.6ft,umbo si mnene wala mwembamba(wastani), Elimu chuo kikuu, mkristo(Lutheran), naishi Dar, natafuta mtu ambaye atakua mpenzi, mchumba mpaka mke kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
How is it guys? need a generous friend to chat with! I'm a man who likes reflective thinking
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Natafuta msichana wa ku-spend naye sikukuu hizi, yaani kuanzia tarehe 24 December, 2012 hadi tarehe 02 January, 2013. Sifa zake ni:- Awe mrembo na wa kuvutia Umri kati ya miaka 18 - 25 Asiwe...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
mm ni mvulana umri 25, elimu yangu ni chuo certificate ya bussness... kazi mfanyabiashara. nipo arusha. nahitaji msichana ambaye atakuwa mke wangu awe na umri kuanzia 20 hadi 22, tabia njema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa mawasiliano zaidi usijali coz niko serious piga 0714303414 at any time
0 Reactions
0 Replies
826 Views
WASIFU WANGU miaka 28 ni mfanyakazi serikalini mrefu wastani mweusi kidogo mhitimu chuo kikuu mkristo rc natafuta mwanadada any colour,,mfanyakazi mkristo, mrefu wa wastani, umri usizidi...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Mimi ni mwajiriwa katika kampuni moja hapa nchini umri wangu ni miaka 28.Natafuta mchumba wa kuoa umri kuanzia 23-28,ambaye tutafahamiana na baadaye kuishi pamoja.Asiwe na mtoto,awe hajawahi...
0 Reactions
1 Replies
871 Views
nimechoka kuwa lonely japo nipate wa kuliwazana naye me ni kijana wa kiume miaka 24 ni mwanafunzi ktk chuo fulani hapa dar natafuta mwenzi wa huba kwa maelezo zaidi ni-pm nitajibu NB:ITS MORE THAN...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume nina miaka 30 napenda kuwa na rafiki yeyote aliye DAR ES SALAAM,dini yeyote,rangi yeyote,umri wowote,ila awe mwenye busara staki matusi pia awe ana uelewa na maisha asiye na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mdada ambaye atakuwa huru kunipa kampani kwenye harusi ya rafiki yangu anakaribishwa sana. Harusi itakuwa tarehe 01/12/2012 Jumamosi, ukumbi giraffe ocean view hotel. Ni - PM.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimekuwa katika mahusiano kabla lakini mashua ya mapenzi ilipigwa na dhoruba kali na tulijikuta tumetenganishwa kila mmoja ng'ambo nyingine katika kisiwa cha maisha tofauti. Nimekuja hapa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
end of topic
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Natafuta marafiki wa kike na kiume kwa njia ya email nipeni email zenu hapa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…