Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Sasa mmea unaaza kuchipua kwa kweli katika jf nimefanikiwa ndoto yangu niwepata nilichokua natafuta nashukuru kwa collective leadership
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hi! Mimi ni tz boy nina 22yrs. Urefu ft 6 kasoro inch 3. Mng'avu. Natafuta msichana au mmama wa kutoka nae. All u want do, do fo luv(2pac)
0 Reactions
11 Replies
1K Views
A lady aged 32,mother of one son, single, never married. Employed and independent,religious neutral. Looking for a single man to guide me, share life's joys and challenges with, have fun with...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
kichwa cha habari hapo juu chausika. ABOUT ME IN A NUTSHELL umri ; miaka 32 elimu;university graduate ccupation;emloyed and entreprenuer home;kilimanjaro Phisical;sportman size, good looking...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
dear wana jf mimi ni msichana mwenye umli wa miaka 24 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27-33 wasifu wangu mnene wastani,mrefu wastan,elimu ya chuo,sijawahi kuolewa wala sina...
2 Reactions
61 Replies
8K Views
24yrs natafuta mke wa kuoa awe mfanyakazi kama mimi nlivyo sibagui dini uzuri ni sifa ya nyongeza
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Thi is jamiiforums collectivize for all the peoples in the world. because of negotiations difference think. It is necessary to be rapture. we must to be comprehensible our messages .any time...
0 Reactions
3 Replies
972 Views
only 4 u,ninapenda mwanamke anaetaka tupendane na sio habar za kila m2 kutaka kupendwa yeye,nataka ushrikiano wa dhat sana
0 Reactions
2 Replies
731 Views
Naitwa Salimu, naingia tena uwanjani kumtafuta the real one(Mchumba), Nimechoka sana kuwa single jamani WASIFU WANGU Jinsia:Mwanaume Elimu:Chuo Umri:27 yrs Mwonekano:Umbo la wastani, maji ya...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari wana jf,Mimi mr ngapu nipo zenj miaka yangu 33 mimi mfanya biashara nipo poa maisha poa napenda watu wote napenda kufanya ibada kusoma qur.an.natafuta mschana mchamungu pia miaka kuazia...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
learn more,then pokea dis uendelee kujfunza
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Natafuta mwanamke mwenye miaka 35 na kuendelea kwaajili ya mawasiliano ya kirafiki na kubadilishana mawazo. Mi ni mwanafunzi wa chuo, nasoma mlimani nipo mwaka wa 3. Kutokana na ugumu wa ajira...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Nahitaji mwanamke anaependa kudeka na kudekezwa na mwanaume tuu...only awe anajua kusumbua kwenye simu full time (msumbufu) anaependa kutumia mda mwingi wa (mapumziko chumbani baada ya kazi au...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
nimeamua kutoa zawadi ya kutafuta mchumba. Binti huyo asiwe na mtoto aliemzaa, awe na umri wa miaka kati ya18_23, awe na elimu kati ya 4m 4_diploma. Mweupe au maji ya kunde, sibagui kabila
0 Reactions
1 Replies
982 Views
wasifu wangu,mrefu ila sio sana wastani,brown colour sinakitambi,gari,mchizi wa mtaa,sina chapa naishi geto na godoro tu,breakfast kwangu anasa,ushishangae hata mchana siku nyingine napiga...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
If you are out there looking for a serious relationship, please drop me a PM. Age: 25 - 30 Color : Brown & Chocolate Weigh: Average body weight Tribe: NA: Height: TBA
0 Reactions
3 Replies
857 Views
kwa niaba ya rafiki yangu naomba kuleta ombi hili kwa wadada wote jamaa ana miaka 29 ni mfanyakazi mrefu wastani mweupe amehitimu chuo kikuu mkristo anaishi dar es salaam anatafuta...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo: 1. awe muislam 2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani. 3. Mwenye degree au elimu kuanzia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Dear ladies, Im a man aged 25yrs, soft black. 5.6ft by height, self employed. Im looking for a girlfriend who we can move to another steps if God wishes, you can send a PM
0 Reactions
2 Replies
794 Views
hello jf Nina miaka 27, kijana wa kiume, mkazi wa dsm , elimu yangu ni shahada ya uhandisi, mrefu wa wastani , pia mwili wangu ni wa wastani na rangi ya kunde. napendelea mpira wa miguu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…