Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Salam mi mwanaume, miaka 35, natafuta mke, awe mkristu, angalau ellimu ya kidato cha 6 na kuendelea, awe mnene, kwa sasa najishughulisha na biashara
1 Reactions
12 Replies
2K Views
me nina umri 25!
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Hodi hodi humu ndani!!!! Hahahaaaaa! Sijawahi post humu! Aluuuuuuuuu! :focus: Kuna dada mmoja, ile formular ya substitution imemkuta soon, sasa yupo bored kinomaaa! Anaona dunia imesimaa! She...
5 Reactions
86 Replies
5K Views
Mi 22 udsm dent, am gud luking, sijui kutongza. Nahitaji msichana mzuri, awe chuo chochote dar. Dini yeyote, . Uwe unahadh ya kuwa na mimi. My number 0774553278
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mambo guys? Mmi ni mvulana aged 27 nipo Dar es Salaam,nimemaliza IFM sasa working na kampuni 1 mpya ya mikopo kwa wanawake,sijakua lucky sana ktk mahusiano ila natafuta marafiki,napenda sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani wana jamii, mimi ni kijana wa miaka 21,ni mwanafunzi wa diploma ya sheria ,nlikua na rafiki angu wa kike nlompenda kwa dhati kabisa lakini ikatokea bila sababu judy akaamua tuachane na hivi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natafuta mdada wa kuoa Sifa:awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea,sio mnene sana,awe anafanya kazi au Biashara,umri kuanzia miaka 26 hadi 36 Kuhusu mimi:Elimu yangu kidato cha nne +some...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
natafuta msichana aliyechuo kikukuu kati ya umri wa miaka 20-26 awe anayajua mambo kidogo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari zenu wapenda mimi ni kijana(mwanaume) mwenye umri wa miaka 28 nina elimu ya chuo kikuu niamajeriwa nina tafuta mwenza wangu awe na sifa zifuatazo 1.mkristo 2.wa wastani(si mnene sana wa si...
0 Reactions
75 Replies
6K Views
Ni ungvu nyingi za kiume ambapo kwa sasa imekuwa tatizo baada kuachwa na wapenzi wanne kwa kutaka kupunguza lakini mimi siwezi mbili,tatu ni kama ndo naanza. Awe na umbo zuri na mzuri kitandani...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habarini wana jamvi.Nahitaji rafiki wa kiume ambaye kama mambo yataenda sawa tutaweza kuishi kama mume na mke. My profile Umri:35 years Dini:Mkristo Elimu :Masters
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Serious na kwa dhati kabisa natafuta msichana aliyetayari kuingia kwenye ndoa na kuanzisha nae familia kama mume na mke baada ya kufahamiana na kuridhiana. Kama hauko serious tafadhali kaa kando...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Seriously, mimi ni mvulana mwenyd miaka kati ya 26-32. Natafuta msichana wa kuishi naye kama mke na mume. Naomba mwenye sifa zifuatazo. 1.awe angalau na elimu ya kidato cha nne. 2. Awe wa kabila...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi wana mmu.. kama heading isemavyo..nna wakat mgumu mpnz nliyempenda na kumwamin ameniacha..2medumu kwa miaka2,kaniacha bla kuniambia sabab sasa ni mwez wa2 but nashndwa kumtoa akilin,nitaj...
5 Reactions
81 Replies
6K Views
Natafuta mwanamke wa kuwa na uhusiano nae kimya kimya bila mpenzi wangu kujua na bila mpenzi wake kujua, tutakuwa hatuwasiliani ovyo kwny simu. Aliyetayari ani-PM. Sihitaji ushauri wowote katika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
hi! Naitwa Jonathan Lucas Kamwavah's na umri wa miaka 26, Elimu yangu ni ya chuo kikuu,ni mfanya biashara mdogo na ni mmiliki wa Youth Network Development Investment iliyopo Mkuranga mkoa wa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Helo wanajamvi,salute sana kwenu na poleni kwa majukumu!! IM SERIOUSLY LOOKING FOR A COMMITED FEMALE FRIEND....! Im 24yrs old(male),Tanzanian and student in one of the university found in...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ndio hiyo! Kama unakwalify niPM plz!
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Awe wa aina yoyote ile lakini awe Anaishi dar es salaam MAwasiliano 0785308076
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni kweli natafuta mchumba wa kike. awe na sifa hizi: Umri: asizidi miaka 24 kabila:mkurya/mjaluo dini: mkiristo kazi: akiwa mwalimu itapendeza sana(mwalimu shule ya msingi/sekondari) appearance...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…