nimechoka kuishi mpweke na kazi zangu za kukaa kwemye computer nakosa muda wa kutafuta mchumba ambaye atakuwa mke wangu,nimeamua kujaribu bahati yangu apa kama naweza pata mchumba awe binti,umri...
Mariage is a pinacle of all dating and relationships..so natafuta mdada mswetee mzuri wa kudate size ya kati ila awe na akili sana if m bn specfic awe mini genius ,awe master of manipulation,awe...
Natafuta mdada mwenye msimamo na kujua nini maisha, naoa kabisa, Elimu yangu darasa la pili nilifukuzwa shule baada ya kumtongoza mwalimu, nikaanza kubeba zege mpaka nikapata mtaji na sasa...
Serious nahtaj mwanamke aliye serious; tukikubaliana basi tuingie kwenye hatua nyingine.
Am 32 years, nna elimu ya chuo kikuu na ni mwajiriwa.
Nahtaj mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 22-30...
sifa zake
umri wowote
awe na hela za kutosha na maisha mazuri.gari ,nyumba.familia bora nk
ndoa tutafunga ndani ya wiki moja
awe HIV NEGATIVE NAOGOPA UKIMWI KULIKO CHOCHOTE
dini yoyote
sifa...
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,naishi dar-es-salaam.umefika muda muafaka wa mimi kuwa na mtu wa kutengeneza naye future yetu,lakini awe na sifa zifuatazo
awe na umri kati ya miaka 18-20...
Mimi ni msichana nina miaka 26 natafuta mchumba ili tuje tuoane. Mimi ni mkristo . Awe na miaka kuanzia 27 na kuendelea. Kwa aliyetayari contact email to mligolucy@ymail.com
poleni na shughuli za kila siku,jaman mpenzi wangu alipotea kimawasiliano karibu miezi miwil,hapigi wala kupokea cm au kujibu sms,karud juz anadai ye ni mzito kutumia simu!!! Kwakweli nashndwa...
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo:
1. awe muislam
2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani maji ya kunde rangi
3. Mwenye...
Hi Naitwa Hussein.
Natafuta mchumba muislam, Mcha Mungu, umri 23-26, elimu ya chuo, mcheshi, asiye na makuu, asiwe mnene sana. Umri wangu 28, muajiriwa, graduate, mrefu kiasi, si mnene...
Naitwa Sean umri miaka 27,mvulana ninaishi Dar es salaam. Natafuta marafiki,mmi nimemeliza chuo pale IFM sasa nipo kazini. Ninaongea Kiswahili,kingereza na kifaransa kidogo sana. Pls nitumie msg...
Salamu wadau natumaini wote mu wazima mimi ni mtanzania naishi na kufanya kazi Moshi, Kilimanjaro, nina miaka 37 sasa, mke ninayemtaka awe mkristu mwenye kujiheshimu. E-mail yangu ni...
natafuta mchumba{mwanamke) mwenye umri wa miaka 18-23,awe mwislamu,rangi yoyote,umbile lolote,,,,mimi nina miaka 25,mweuc,mwembamba,mrefu-ila bado nipo masomoni chuo kikuu.
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo:
1. awe muislam
2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani maji ya kunde rangi
3. Mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.