Awe na sifa zifuatazo:-
Umri wa kati ya miaka 18 - 25
Elimu ya Sekondari na kuendelea
Awe na dhamiria ya kuwa kwenye mahusiano thabiti
Asiwe mnene sana
Asiwe mfupi sana
Awe tayari kupima magonjwa...
Kwenu wanajamvi!
Kichwa cha habari chahusika hapo juu
Ni rafiki yangu sana, mdada ana miaka 36, ana watoto wawili, anatafuta mwanaume mwenye upendo na mapenzi ya kweli, upweke umemchosha. Yeye...
mimini mtu mzima aged 50 natafuta msichana awe nweusi asiyejichubua na ambaae anahangaika na maisha ili awe mpenzi wangu,anaweza kuwa mtumishi au mjasiriamali au mbangaizaji ili tupeane raha.awe...
Habari zenu wapendwa,
natafuta demu wa kudate naye, na ntakuwa naye angalau kwa mwaka mmoja
awe na shape nzuri (sexy looking and romantic figure)
awe mwanajeshi au polisi
any age below 30
rangi...
Habari wana JF, mimi nimwanamke, ninatafuta mchumba kuanzia miaka 36 mpaka 45, awe mcha Mungu, mwenye elimu ya chuo. Jamani nipo serious kwa hili swala. Natanguliza shukrani.
Dini yangu ni mkristo...
Wakuu mambo vp! Mi natafuta mchumba ambae yuko serious na maisha, anakunywa bia, club kimtindo, mweupe,mrefu, umri kuanzia 20-26. Mi umri wangu 28, pia asiwe machepele/mcharuko,mengine tutajuana...
I am rily in need of a person to be close to me and advice me also to confort me in stressfull times and i will also do the same for him/her,{it doesnt mean a girlfriend,its just a friend and it...
jamani kila nikitembelea jukwaa hili sion post ya mtu anae hitaji mkulima! leo nafunguka nahitaji mke anae weza mambo ya kilimo!......... sifa awe na akili timamu..........umri kuanzia...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, natafuta msichana ambaye atakuja kuwa mke wangu wa future,lakini awe na sifa kama zifuatazo;
awe ni mcha mungu na mwenye hofu ya mungu
awe na umri wa miaka...
Mamboz?
Nimeamua nijaribu chance na hapa as huwez jua ya Mungu mengi.. Nami humu jamiiforums natafuta partner.. Just for chatting, having fun mambo yakienda poa malavidavi and later wedding...
Katika ujana wangu nimepita kwa makabila mengi kiasi kwa mtindo wa eat and run, sasa umri umekwenda. Kwa utashi wangu katika makabila yote, nilifurahishwa na mapenzi ya hayo kabila tajwa hapo juu...
na mimi nimeamua kutafuta mke wa mtu ambaye mumewe hana muda naye
purpose ni kuongea naye na kushauriana mambo kadhaa
recently nimegundua married women are very smart and idealistic (my wife...
Mimi ni kijana wa kitanzania umri miaka 27 nimemaliza chuo mwaka jana 2011,natafuta msichana ambae yupo tayari kuolewa hila kuoa mungu akipenda mwakani ndo maana nna anza kutafuta muda huu huwezi...
Mimi ni kijana wa kiume umri Napata 23 nimemaliza chuo kikuumwaka huu makazi yangu ni dare s salaam,nilkuwa na mpenzi wangu ila kutokana na kutokuwa mwaminifukwangu nimeachana nae nimejaribu...
There two kinds of people in this forum when it comes to the matter that someone is looking for someone.
The two kinds are those who are serious and those who are not.
The number of those who...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.